NAPENDEKEZA: Wanajamvi tuliopo Dar na wale watakaopenda TUKUTANE

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Nafikiri tukutane angalau ata kwa kuchangia na kupangilia eneo fulani. Tuchague Viongonzi wa kuratibu hii kitu. Nasema hivyo kwakuwa:
  1. jf inawatu wenye uwezo mkubwa wa kutafakari na kufumbua mambo
  2. kuna aja ya kujuana na kwakuwa sote ni kitu kimoja basi tutapanga la kufanya
  3. tuwatambue kina mods, Mwanakijiji, nk.
  4. tuwone wale walioweka picha kali wkt pengine ni wakawaida au ata wazee, au vituko
  5. tuweke mikakati ya kulikomboa taifa:flypig:
 
Nadhani hili la kukutana face to face wanaliweza watu wa Arusha..Hap Dar sijui kama inawezekana...Sikukatishi tamaa lakini....
 
Hilo la tano litatufanya tuondoke na stress bure.
Na hiyo namba 4 imekaa kiumbea umbea.
 
ha ha ha, nilivyombea zile namba hata sikujua zimeandikwa nini

umenifanya nirudi kuzisoma.

umeona hizo ajenda zake zilivyokaa vibaya Kongosho? Anataka tutoke tumenuna, mi najua kongosho hendisombwoi nafika huko nakuta ni biutiful gelo itakuwaje!
 
Last edited by a moderator:
he he he, tukutaneni basi?

Wakikataa hata sie wawili tu tukutane.

Unapenda nyama choma na biya au wee ni wa 'pork ribs with butter naan?

umeona hizo ajenda zake zilivyokaa vibaya Kongosho? Anataka tutoke tumenuna, mi najua kongosho hendisombwoi nafika huko nakuta ni biutiful gelo itakuwaje!
 
Last edited by a moderator:
he he he, tukutaneni basi?

Wakikataa hata sie wawili tu tukutane.

Unapenda nyama choma na biya au wee ni wa 'pork ribs with butter naan?

mie biya situmii, natumia konishpaki na todinthehole. Uje na nguo ya skukuu nikujue@kongosho
 
Back
Top Bottom