Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Najua, kwa mtu halisi kabisa, Ikulu ni mzigo! Hupakimbilii! Si mahali pa kupakimbilia hata kidogo; huwezi kupakimbilia Ikulu. Unapakimbilia kwenda kutafuta nini? Mtu yeyote anayeonekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza katibu mkuu wa uvccm martin shigele amedai kwamba mauaji ya kijana ally (muuza magazeti ) yaliofanyika jana yamefanywa na chama cha CHADEMA. Alitoa kauli hiyo wakati...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijui wana matatizo gani hawa? Atm machines zote mbili hazifanyi kazi.najuzi tu wamesheherekea 15 yrs in banking industry. Moja ipo kwenye branch yao, na nyingine ipo kange -industrial area for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
haiwezekani habari ya Vurugu morogoro wasiitangaze hata kuigusia kidogo. Au ndo kufwata maneno ya Rais kwa vyombo vya habari kuacha kuichafua serikali kwa kukuza habari. TBC naifuta rasmii, haina...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,mwaka huu mh:Raisi JK kajitahidi sana kuondoa ile kata kata ovyo ya umeme, baada ya vikosi vyake kuanika hadharani uozo uliopo katika shirika la tanesco na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NDUGU WANAHABARI SISI BAADHI YA WAFANYAKAZI WA SUNRISE RADIO ARUSHA KUANZIA LEO TAREHE 22/8/2012 TUMEAMUA KUGOMA KUENDELEA KUFANYA KAZI NA ASPIRE MEDIA COMPANY...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemtaka Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Abubakar Khamis Bakari ajiuzulu, kwa maelezo kuwa ameshindwa kuishauri vizuri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ndio CV ya Kafumu as of today: CONTRACTORS REGISTRATION BOARD NEW BOARD OF DIRECTORS EFFECTIVE FROM 1ST DECEMBER 2006 Eng. Consolata Ngimbwa - Chairperson Eng. Consolata Ngimbwa, the...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima mbele, Habari wadau, mnaweza kuwa mmesahau au hamjaweza kupata habari hizi za Annual engineers day, 2012, lakini kwa kuwa JF ni kila kitu nimeonelea niwakumbushe. The Engineers...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu waungwana, nataka kufaham kuhusu matumizi ya CNG kwenye magari kama kuna mtu amekwisha install kwenye gari yake au kama kuna mtaalam hapa. Kwanza ni gharama za kufunga hii system...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
vijana wengi wa kibongo wanatanua sana,wanakunywa bia na kukuza vitambi tu,huku wakisahau kuwa wnajenga ghorofa tumboni basdala ya kununua viwanja na kujenga,mtajiju baadaye masharobaro nyie!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK. Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama...
9 Reactions
105 Replies
11K Views
Kipindi cha Dira ya dunia BBC-Swahili kimeanza kurushwa jana kupitia Star Tv kuanzia saa tatu usiku kila siku Jumatatu hadi Ijumaa. Full coverage ya matukio mbali mbali yanayotokea duniani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzanite sparks fresh hostilities By Correspondent 28th August 2012 Several small miners injured Gunfire erupted some 465 metres below ground level at the Tanzanite mine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf tusaidieni namba ya cm ya mheshimiwa Mwakyembe atusaidie cc abiria hapa mwz tumekwama kuondoka tangu asubuhi kuelekea DAR na hakieleweki. naona jamaa wanatujibu wanavyotaka.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Bw. Eric Shigongo, anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi na Mwenyekiti wa Global Publishers Ltd, Mzee James Bukumbi, kilichotokea usiku wa...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani habari za saa hii? Jamani kuna tetesi zina sema kuwa upulizaji wa tarumbeta husababisha mabusha, je nikweli? Kama ni kweli nawasikitikia hawa jamaa wa vikundi vya matarumbeta maana mbeleni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF napenda kufahamu kwa nini taasisi ya Agakhan inapewa misamaha ya kodi hapa nchini kwetu. Nina uliza kwa sababu huduma za Agakhan mfano hospital za Agakhan ni ghali kuliko hospitali...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Madereva wa Magari ya abiria Bukoba wameanza mgomo leo kupinga unyanyaswaji na ushuru holela wanaotozwa kuingia na kutoka stand. Mpaka sasa, hakuna gari lolote lililoingia stand kupakia au kupakua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tue, Aug 28th, 2012 Tanzania | At last, the government has started its quest to develop a liquefied natural-gas export project in the form of liquefied natural gas (LNG) export facility...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…