katibu mkuu wa uvccm aamini chadema ndio waliofanya mauaji morogoro

bamku

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
538
427
Katika hali ya kushangaza katibu mkuu wa uvccm martin shigele amedai kwamba mauaji ya kijana ally (muuza magazeti ) yaliofanyika jana yamefanywa na chama cha CHADEMA. Alitoa kauli hiyo wakati anatuma salamu za rambi rambi kwa familia ya marehemu.SOURCE : Taarifa ya habari ya saa 12 jioni Clouds FM
 
shigela anatoa yale yaujazayo moyo wake .kwa design hii ya watu taifa haliwezi kupiga hatua ya democrasia na maendeleo .Yatupasa tushirikiane wote kuwaondoa watu kama hawa kwenye nyadhifa zao
 
Kwanza atakuaje katibu wakati yeye ni mzee wa miaka 48,. Au ndo kachakachua umri
 
ulitegemea atasema nani wakati adui yao ni chadema?? tushawazoea hao
 
watu wenye mawazo hasi kama hawa hawastahili kuishi Tanzania
pia mafisadi na watu wanaodhani wana hati miliki Tanzania hawastahili kuishi Tanzania
kwa aibu zao wenyewe wataondoka kabla ya mwaka 2015.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom