Pamoja na Wasemaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Baraza la Mitihani kusepa kushiriki kwenye kipindi hicho kinachorushwa na ITV lakini nahisi mnatoa macho pima kukideku.Kuweni na...
Kama tabia ya nyoka alivyo, nyoka huogopa watu na hutemea watu sumu au kuuma kabisa mtu akimsogelea ! now, tabia ya MAOFISA WA IKULU ni kama MAJOKA wanaouma watu au...
Kwa nini mtu alipe reconnection fee kwa AMRs, ambayo untendaji wake wa kazi ni unafanana na LUKU? Tena ni bora kuliko hata meter za LUKU kwa vile mtu anakata au kurejesha umeme akiwa mezani...
habari ya channel ten usiku huu ni kuwa cdm wameingia mitini katika kutoa rambirambi au msaada kwa anayedaiwa kupigiwa risasi na polisi moro.
nani yuko nyuma ya hii news!
Aliyepewa tenda ya kukusanya ushuru wa magari arusha ana njaa kali anakusanya ushuru hadi mochwari na vituo vya polisi hadi benki kuu na tra.Ccm mnatupeleka wapi?
leo nilikua tanesco nikajiliza inakuaje Tanesco sehemu ambayo kunamakusanyo mengi sana ya hela malipo yafanyike dirishani na sio bank??'nikua kwenye daladala kipindi cha power breakfast cha clouds...
Mtoto azaliwa na vichwa viwili katika hospital ya DDH Bunda Mara mtoto huyu alikaa kwa saa moja ni kisha kufariki dunia picha imepigwa na Berensi Alikadi mshiriki wa mafunzo ya Online...
Wadau nipo kwenye kikao cha makili wote (half annual general meeting) hapa AICC Arusha. Kwa sasa Lissu anahutubia mawakili kwenye topic 'paramount issues for consideration in the constitution...
Wanajamvi madodoso ya sensa huku manyara yamekwisha kiasi kwamba yametolewa copy ili kazi iendelee, my doubt ni kwamba hizi dodoso zinakwenda kwa serial number sasa kama ikitolewa copy kama 1000...
VURUGU zilizuka nje ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kufuatia kahaba mmoja kumchapa makofi mlemavu wa miguu, Godlack Schone, 33, akimdai shilingi elfu 60 za ‘malipo' ya huduma ya...
Long, hot summer sends food prices soaring By Paul Armstrong, CNN
August 31, 2012 -- Updated 0847 GMT (1647 HKT)
Rain clouds gather over the remnants of parched corn stalks on the...
The National Census Commissioner, Ms Amina Mrisho, has expressed optimism on positive outcome in the ongoing population and housing census, saying the turnout is impressive save for some isolated...
habari zenu wakuu, nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 kulikuwa na picha ya wandishi wakiwa wamevaa jackets za press crew zimeandikwa kikwete 2010, au ccm something, kuna research nafanya naombeni...
Kwa wale mliokuwa mnasema jamaa hatakiwi kwenda US.........Ka-post hivi kwenye FB:
Lazaro Nyalandu
Arrived in the US this afternoon to deliver a speech at Tanzania disapora DICOTA meeting in...
Nimemaliza kuhesabiwa kama dakika moja iliyopita,karani aliyenihesabu ametumia dodoso lililotolewa photocopy, amedai wameambiwa yameisha na wamepewa kopi.
Ni hapa manisapaa ya Lindi. Je hii ni...
Jamani naweza kuwa ni Mtanzania wa kwanza wa kutokufuatilia historia ya viongozi wetu, hivi ndugu Fredrick Sumaye yupo kweli?
Sijamsikia kwa muda mrefu sana, hana mbio za uraisi au yeye ni waziri...