Kipima joto na elimu

CHOMA

Senior Member
Aug 22, 2012
118
9
Pamoja na Wasemaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Baraza la Mitihani kusepa kushiriki kwenye kipindi hicho kinachorushwa na ITV lakini nahisi mnatoa macho pima kukideku.Kuweni na ujasiri wa kutetea maamuzi yenu yenye utata.Msitegemee kila kitu kinachosemwa na hao mnaowaita Wahisani wenu ni bora kuliko mawazo ya Watanzania wenyewe.
 
Back
Top Bottom