IKULU- mahali MAJOKA yanatunzwa kimtazamo!!

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
503
157
Kama tabia ya nyoka alivyo, nyoka huogopa watu na hutemea watu sumu au kuuma kabisa mtu akimsogelea ! now, tabia ya MAOFISA WA IKULU ni kama MAJOKA wanaouma watu au kutemea sumu watu pale wakiwa pamoja au humwinda mtu kumfanya kitowoe kokote wakimuona pekeyake au hata kwenye kundi la watu! uoga wa hao maofisa ni mkubwa mpaka wanamtemea SUMU MWANAHALISI! "LIPO JOKA RAMA linalodhuru mtu yoyote na kumfanya kitowoe baada ya kutumwa na BABA LAO. jamani, wakati umefika TUYAWINDE HAYO MAJOKA kwa kuweka mtego wa MOVEMENT FOR CHANGE! ila cha muhimu sana nikuli tega anayewatunza CCM. NOW ,wadau;je mtego wa MOVEMENT FOR CHANGE UNATOSHA!!!je kunasababu yeyote majoka hayo yanakuwa waoga?
 
ni kulimwagia mafuta ya taa tu,ila halitulii sasa,mara huku mara kule heee!!ila si mbali tutalinasa tu hili joka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom