Kwanini tanesco malipo yafanyike dirishani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini tanesco malipo yafanyike dirishani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by massai, Aug 31, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  leo nilikua tanesco nikajiliza inakuaje Tanesco sehemu ambayo kunamakusanyo mengi sana ya hela malipo yafanyike dirishani na sio bank??'nikua kwenye daladala kipindi cha power breakfast cha clouds wakiponda uongozi wa bandari malipo kufanyika dirishani badala ya bank.sasa sijui ni siasa au ni msukumo wa watu flani mpaka hilo suala likajadiliwa au ni kwamba hao jamà wa clouds hizi habari wao hawana.tuache siasa katika kukemea maovu yanayofanywa na hawa mabaradhuli sisiemu.kwanini malipo yasifanyike bank??au hiyo tanesco ni kampuni ya mtu binafi au ndio wanapata unafuu wa kuiba ?kweli ndio màna kilasiku shirika halîshi kulalaml hasara.kweli bongo sana kila kona.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ili waweze kugawana kama ilvyokuwa Bandari kabla Mwakyembe Hajatia Mguu
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  hao ndo viongozi wetu bana...watu wanaenda na sayansi na tecknology wao bado wapo karne ya pili cjui...sasa mfano swala la luku kununua dirishani,wamefikiri nini mpaka kuturudisha huku?
   
 4. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Peti cash itakuwa mbali
   
 5. C

  CAY JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  OIU inahusika sana hapa!
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nadhani wameandaa mpango maalum wa kubaini meta za luku za magumashi zinazowaibia umeme.
   
 7. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  una maana ya I.O.U.?
   
 8. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  wakuu, kama badra masoud anapitapita humu jf aje kamili gado atufafanulie hii ishu vizuri.
   
Loading...