CHADEMA washindwa kutoa msaada kwa mwanacham a wao aliyepigwa risasi MORO-Channel ten News

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
habari ya channel ten usiku huu ni kuwa cdm wameingia mitini katika kutoa rambirambi au msaada kwa anayedaiwa kupigiwa risasi na polisi moro.

nani yuko nyuma ya hii news!
 
aliyeuliwa ni mtanzania sii mwanachadema,hivyo govt ndio ilipaswa kuwajibika maana polisi ndio wameua
 
habari ya channel ten usiku huu ni kuwa cdm wameingia mitini katika kutoa rambirambi au msaada kwa anayedaiwa kupigiwa risasi na polisi moro.

nani yuko nyuma ya hii news!

We unaakili kweli Serikali iuwe chadema wakatoe rambirambi.
 
habari ya channel ten usiku huu ni kuwa cdm wameingia mitini katika kutoa rambirambi au msaada kwa anayedaiwa kupigiwa risasi na polisi moro.

nani yuko nyuma ya hii news![/QUOTE

Mimi nisikiliza hiyo taarifa ya habari ya cha10. lakini ninafikiri wewe ndugu hukusikiza vizuri kwa sababu ndugu wa wafiwa hawakutaka kutoa ushirikiano na chadema katika msiba huu.hilo lilijionyesha wazi hata Kiongozi wa chadema Mkoa wa Tanga alieleza jinsi ambavyo hawakutaka kumpa ushirikiano pale alipowaeleza amefika ili kuwasikilisha chadema na wako tayari kwa lolote kama alivyoagiza katibu Mkuu lakini hawakutoa ushirikiano.hata Msemaji wa ukoo alionekana ana lake jambo au kanunuliwa ili kuiponda CDM.lakini ni kwa faida ya nani? kama watu wamekuja kukusaidia halafu unakataa?
 
Nashindwa kuelewa hapa hoja ya mashabiki wa Vyama. Mtu amefiwa kisha unataka akupe ushirikiano wa aina gani huo badala wewe ndo umpe?. Tuache ubaguzi na maneno yasiyo na maana
 
Back
Top Bottom