Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by buyegiboseba, Aug 30, 2012.

 1. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimemaliza kuhesabiwa kama dakika moja iliyopita,karani aliyenihesabu ametumia dodoso lililotolewa photocopy,amedai wameambiwa yameisha na wamepewa kopi.
  Ni hapa manisapaa ya Lindi
  Je hii ni halali kutumia dodoso kopi wakati dodoso zina serial number?
  Kiukweli hali hii imenigutua sana na kuwa ha hofu na ufanisi wa zoezi hili.
  Wadau mnasemaje juu ya hili.
   
 2. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu,ukistaajabu ya musa... Hii ndio tanzania yetu. Kama kawa watu washapiga mpunga wao wametulia. Wewe unashangaa photocopy ya dodoso? Je sisi tuliohesabiwa kwa kuandikwa kwenye 'vinotibuku' vile vidogo tusemeje? Ndipo tulipofikia ingawa haizoeleki.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,693
  Trophy Points: 280
  si zoezi linafanyika ili mradi tu limalizike...mwisho wa siku watakuja jikuta watanzania waliohesabiwa ni milioni 20 tu
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na mbwembwe zote tumejiandaa vya kutosha...kila kitu kiko tayari! kweli dhaifu,authentic ya taarifa hizi za copy au za vinotibook inatia shaka,kuna uwezekana tukapata takwimu za kupikwa
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama matokeo ya 'uchaguzi mkuu' yanakaangwa ije kuwa senceless?
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Zoezi zima litaighalimu serikali
  karibu Billion200
   
 7. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  Usishangae huko, kunajamaa huko Mpwapwa walipewa madodoso marefu kumi tu katika eneo lenye zaidi ya kaya mia moja, baada ya masaa mawili wakawa wameyamaliza yote, since that sunday mpaka leo wapo tu hakuna madodoso! Usichangae yakatokea ya Ngoswe na mazoea!
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii nchi tunafanya utani kweli, mpaka kwenye masuala muhimu
   
 9. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Heri yenu mmehesabiwa mimi sijakutana na huyo Karani wa SENSA!,
  Na kama aliyekataa kuhesabiwa anashitakiwa je mimi ambaye sitahesabiwa kwa uzembe wa wahusika nichukue hatua gani?.
   
 10. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hata Tabora tunatumia photocopy na Sio madodoso halisi....
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwasababu kuhesabiwa ni haki yako...inabidi ufungue kesi....lol
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Phbotocopy!! Mbeya walikuwa wanatumia daftari tu kama la mwanafunzi wa shule ya msingi ambalo karani alijitolea kununua kwa pesa zake binafsi.
   
 13. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  kati ya sensa zote zilizowahi fanyika hii imesuasua ile mbaya kwa kukosa support ya waislam. Albina upo?
   
 14. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Mkuu wenu na speach zake, na mbwembwe nyingi eti bila sensa utakosa vitambulisho vya uraia ooh vikaenda vikarudi mara tumejiandaa vya kutosha tumeshachapisha madodoso. Mi nawambia takwimu zitakazo toka hapo ni za ki propaganda ya magamba tu, wait and see. Mpaka leo toka sensa ianze mtaani kwetu hata huyo mwenye notebook hajatokea.
   
 15. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikujua kama tatizo ni kubwa kiasi hiki! sasa cha kupeleka hadi watu mahakamani nini?kama tu waliotayari kuhesabiwa hawajafikiwa! Ingekuwa Serikali ni kama kocha,mkataba wake ungesitishwa mara moja,hii ni hatari sana,bilions zimetumika halafu dodoso notebook na daftari?we real cant be serious,May God rescue us!
   
 16. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani sheria inasemaje kama karani hajakuhesabu yeye nae anapelekwa mahakamani?lawyers please
   
 17. m

  mavisu Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 18. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  ukimuamsha aliye lala utalala wewe!
   
 19. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  masasi mkuu wa wilaya kakiri madodoso kuisha na kufanya zoezi hilo huko masassi kuwa gumu.sasa kweli sensa itasaidia kupanga maendelo kweli kama hata kupata data yenyewe ni shida mwisho wa siku siku zitaisha na watajiondokea zao maana perdiem sizitakuwa zimeshakwisha au wanafanya hv ili watake pesa zingine.hii yaweza kuwa kusudi tu
   
 20. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  wanafanya ili wajustify matumizi ya mipesa iliyopo serikalini mkuu huoni?
   
Loading...