Mtoto Azaliwa Na Vichwa Viwili Mkoani Mara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto Azaliwa Na Vichwa Viwili Mkoani Mara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gumzo, Aug 29, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Mtoto azaliwa na vichwa viwili katika hospital ya DDH Bunda Mara mtoto huyu alikaa kwa saa moja ni kisha kufariki dunia picha imepigwa na Berensi Alikadi mshiriki wa mafunzo ya Online Journalism yanayoendelea Mkoani Mara , Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mkufunzi Msaidizi Mkami Jr , Yakiratibiwa na UTPC


  CHANZO : GUMZO LA JIJI
   
 2. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dear Lord mpe mama yake faraja!!
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  RIP katoto!
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  pole mfiwa ni mipango ya Mungu, atakujali utapata mimba na kuzaa mtoto mzima
   
 5. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mipango ya mungu
   
 6. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Pole sana Mama kwa msiba uliokupata.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duh! Ama kweli tunakoelekea tunahitaji kumtaja Mwenyezi MUNGU sana!

  Sisi tu wakosaji kila wakati MUNGU wetu na tunakuomba u2samehe!
   
 8. MAENE

  MAENE Senior Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mungu awape moyo mkuu wazazi wake.
   
 9. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  RIP mtoto/watoto.Nadhani si tukio la kwanza mpaka kutoa mshangao wa ajabu.
   
Loading...