Census in good progress Ms Amina Mrisho, has expressed optimism on positive outcome

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
attachment.php

The National Census Commissioner, Ms Amina Mrisho, has expressed optimism on positive outcome in the ongoing population and housing census, saying the turnout is impressive save for some isolated cases. The National Census Commissioner, Ms Amina Mrisho Ms Mrisho told the ‘Daily News' in Dar es Salaam that minor challenges experienced at the beginning of the exercise were resolved.

"In Kilwa District, Lindi region, the exercise was almost paralyzed at the beginning because there was a problem on the part of residents and enumerators as well. "So we had to dispatch a special team which has taken over and things are moving on smoothly," she revealed.

Ms Mrisho noted further that another problematic area was Manyara Region where some five people were arrested for obstructing census officials from performing their duties. "They, however, repented and were released and are now volunteering to campaign for participation in the exercise," she said.

In another development, the National Bureau of Statistics (NBS) has issued a statement calling on citizens to continue giving out information to enumerators, as the officers will continue to be in the streets until tomorrow which is the 7th day.

"The exercise which began on August 26, was scheduled to continue for seven days, until Saturday, if there are some people who are yet to be attended by enumerators, they should report to local leaders or ten cell leaders," reads the statement.

The statement further reminded that data which are sought would remain confidential. "We take this opportunity to thank all Tanzanians who have come out in support of our officers in the exercise," it notes.
 
Attachments

  • Amina-Mrisho.jpg
    Amina-Mrisho.jpg
    13.5 KB · Views: 128
Ni kitu cha ajabu sana kuona mtu anayendaa shughuli ndiye huyohuyo anakuwa wa kwanza kujisifia kuwa shughuli imeenda vizuri. Huu ni upuuzi kwasababu alipaswa kusubiri maoni ya watu kama kazi imefanikiwa au la.

Na mimi nina uhakika asilimia mia tisa kuwa hili zoezi la sensa limeenda ovyo kuliko maelezo na serikali itajuta sana kwanini hata walianzisha wazo la kuhesabuhesabu watu.

Huku kwetu, kwa mfano, kuna watu karibu laki 4 wamegoma kabisa kutoa ushirikiano kwa hao wapiga sensa wao. Halafu et mtu anasema sijui oooh sensa imefanikiwa kwa asilimia ngapi sijui nini.
 
Sensa siku saba huu ni U-EPA. kwa nini pesa ya kumlipa wakala wa sensa kwa siku saba wasilipwe watu sita extra na zoezi likawa la siku moja??!! Linavuruga M4C bila sababu.
 
huo ni uongo na uzushi........kuna kasoro nyingi sana hawataki kukiri.....mimi mwenyewe hapa sijahesabiwa, tena hapa sinza tu na watu kibao mtaani kwetu hawajahesabiwa hao makarani hawajafika....imebidi nimtafute rafiki yangu ambae ni karani ili aweze kuniandika kama mkazi wa hilo eneo aliko, sasa ni watu wangapi wataweza fanya kitu kama hico?
 
Ni kitu cha ajabu sana kuona mtu anayendaa shughuli ndiye huyohuyo anakuwa wa kwanza kujisifia kuwa shughuli imeenda vizuri. Huu ni upuuzi kwasababu alipaswa kusubiri maoni ya watu kama kazi imefanikiwa au la.

Na mimi nina uhakika asilimia mia tisa kuwa hili zoezi la sensa limeenda ovyo kuliko maelezo na serikali itajuta sana kwanini hata walianzisha wazo la kuhesabuhesabu watu.

Huku kwetu, kwa mfano, kuna watu karibu laki 4 wamegoma kabisa kutoa ushirikiano kwa hao wapiga sensa wao. Halafu et mtu anasema sijui oooh sensa imefanikiwa kwa asilimia ngapi sijui nini.

Mwisho wa siku maneno ya serikali ndio yanakuwa final...this time at least na wewe umeona hivyo. Tatizo langu ni kuwa kuna kaya nyingine hazikuhesabiwa sio sababu ya kugoma, bali sababu ya wanaohesabu kutoonekana. Inakuwaje hiyo?
 
Inakuwa imekula kwao.
 
Ni kweli zoezi hili limeferi, leo ni siku ya tano/sita, hawajafika kwangu kunihesabu mimi na familia yangu, huko Dodoma, sasa makarani watafika lini kutuhesabu kama hadi sasa hawajafika?

Back
Top Bottom