Dodoso za sensa zatolewa copy Manyara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoso za sensa zatolewa copy Manyara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Irqwatu, Aug 31, 2012.

 1. I

  Irqwatu Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi madodoso ya sensa huku manyara yamekwisha kiasi kwamba yametolewa copy ili kazi iendelee, my doubt ni kwamba hizi dodoso zinakwenda kwa serial number sasa kama ikitolewa copy kama 1000 inamaana serial number inajirudia mara 1000, are we serious with this task. Nawakilisha
   
 2. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkuu we are not serious. bilion 114 zilipangwa zitumike ktk zoezi hili. ina maana chuwa na wenzie estimation zao hazikuwa sahihi hadi watoe photocopy. hizo nakala walizotoa ni batili mbele ya sheria na nawashauri wananchi wa huko wasikubali kuhesabiwa kwa dodoso ambalo ni photocopy. wanikamate km nhmehamasisha watu wasijiandikishe.
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hata hapa morogoro hali ni hiyo hiyo wametoa copy.....Real we are not serious!
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa uhakika shughuli ya sensa siku zote ni jambo la kitaifa na wala si la kiitikadi hivyo kuliunga mkono ni wajibu wetu sote. Lakini ni bahati mbaya sana tena sana kwa kwa mwaka huu mambo sivyo ndivyo kabisaa juu ya zoezi hili.

  Nilishasema ya kwamba mazingira ilimofanyika sensa ya mwaka huu wala si ile murua na ya kirafiki hata kidogo hivyo hata takwimu zitakazopatikana mwisho wa siku kamwe HAZITOKUA ZENYE KUAMINIKA HATA KIDOGO WALA KUWEZA KUTUMIKA POPOTE KWA SHUGHULI ZA KIMIPANGO WALA KITAALUMA.

  Yeyote asiyeamini hili bado basi tena.
   
 5. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Manyara kama mkoa, au manyara karibu na babati.
   
 6. m

  mamajack JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hata gaita wametoa coppy ndo zinazotumika mda huu ninavyoongea.
  Ccm hawana suala la kuchukulia umhimu.
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Unashangaa nini sasa.....
  Mimi nimetoka hesabiwa sasa hivi karani anasema kuna kaya kibao zitabaki bila kuhesabiwa.
  Na zoezi lilisimama kwa siku mbili yan jana na juzi kutokana na kukosekana kwa karatasi za dodoso. Ndipo baada ya kusubiri kwa siku mbili wakaamua kutoa copy.
  Mimi nimehesabiwa na karatasi zilizopigwa copy.

  Karani wa sensa mwenyewe anasikitika anasema kama zoezi zima halitaongezewa muda wa wiki nzima nyingine tujiandae na data za kufoji.

  Nipo Arusha.
   
 8. m

  malaka JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sasa hizo bil zilizoandaliwa hatuwezi kuhoji kweli? Mama yangu mpaka uchaguzi wa 2015 unakwisha waTZ tutatembelea kufuli tu.
   
 9. K

  Kidoma Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NYIE MWASEMA HUKO?
  Hapa hapa Dar pua na mdomo na huduma na ofisi zote
  Nyumba kibao watu hawajahesabiwa pamoja na kusubiri kwa shauku kubwa olas

  karani wa sensa alikuwa akipita na kuchagua nyumba kadhaa na nyingine akaziacha
  ndani ya makabrasha yake alikuwa na ramani yenye majina/namba ya nyumba zinazohesaiwa hivyo zile zisizo kwenye molongo wake
  katu hazikuhesabiwa mpaka hivi tunapokaribia kuwakilishwa kwa takwimu za sensa yenyewe.

  Najua watu watabisha, then za eneo husika
  kwa mfano ni Buguruni-Vingunguti na mfano wa karani husika alifanya shughuli yake
  opposite na barabara ya kuelekea maji machafu (dampo la vingunguti)
   
 10. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kinachonikera mm makarani wamelipwa laki 5, semina na sensa yenyewe,wakati viongozi kawawezesaji kujilipa milioni 2, jamani hii kazi isiki tu,ukweli ni ngumu kiasi kwamba inje ya ukosefuwa madodoso uwezekano wa kupika data nakutoa data sizosahihi nimkubwa sana,Sina budi kumpa pole Rais kwa kulifanya zoezi hili kama zimamoto, vifaa hakuna,ramani za 2002 ndizo wametumia! ***** mtupu.kweli kunahaja ya kuwapa wengine nchi nao wajaribu.
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  We are not serious......hilo mbona liko wazi kabisa mkuu!
   
 12. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pia kuna kijiji huko yaeda chini wananchi wamewanyanganya makarani karatasi za sensa na kuzichanachana sasa hivi polisi wa mbulu ndo naona wamevaa zana za kazi kwa ajili ya kwenda huko,kazi ipo kwa kweli kwenye sensa
   
 13. c

  christmas JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,603
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Mungu ameamua kuiumbua tu ccm na bado watakubali tu
   
Loading...