Morogoro: Kahaba amwangushia kichapo mlemavu kwa kukataa kumlipa 60,000/= Tshs.

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
VURUGU zilizuka nje ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kufuatia kahaba mmoja kumchapa makofi mlemavu wa miguu, Godlack Schone, 33, akimdai shilingi elfu 60 za ‘malipo' ya huduma ya mapenzi aliyompa kwa usiku kucha.

Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita mjini hapa na kuwalazimisha baadhi ya wafanyakazi wa mjengo huo kumjia juu changudoa huyo kwa kitendo cha kumpiga mlemavu mbele ya kadamnasi.

Paparazi wetu alifika fasta eneo la tukio, lakini katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida, changu huyo baada ya kumuona alitimua mbio kwa kutokea mlango wa uani wa ofisi hiyo.

Akisimulia tukio hilo, karani mmoja wa ofisi hiyo anayefanya kazi upande wa utawala alisema chanzo cha ugomvi huo ni kahaba huyo kudai ‘haki' yake baada ya kumpa ‘huduma' ya mahaba Schone.

CHANZO: GUMZO LA JIJI
 
Kama ana risiti basi ana haki zote za kumwadabisha huyo kilema
 
Elfu 60 ni nyingi sana. Inabidi TRA wamkamate huyu mama ili athibitishe kama analipia Kodi ya VAT hiyo kazi yake inayomuingizia kipato kikubwa hivi kwa usiku mmoja.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA
 
Kumbe hawa ombaomba tunawapa pesa zetu ndo kazi wanaenda kufanyia??
 
Kumbe hawa ombaomba tunawapa pesa zetu ndo kazi wanaenda kufanyia??

hawa hawa...mchana wanazchanga usiku wanazichangua pale Buguruni..mana kwa bei ya wale wa Ambiance hawawezi kumudu!mana Ambiance hata busu lina hela yake,akisasambua nguo zote napo inaongezeka,tembea uone
 
...Kuna Naniliu ya Shs Alfu 60???
Hii habari nayo imekaa Kiudaku dakuzaidi.Yule mtoa huduma alipokimbia si huyoMlemavu alikuwepo? Kwa nini Muandishi hakumhoji ili kupata upande wake wa stori hii??Pengine ilikuwa shs ALFU 6 tu ila mtoa huduma amechomekea tu ili kuhalalisha ugomvi?
Ilikuwa akatoa huduma halafu Mlemavu amtoroke bila kutoa hela mpaka amkute hapo??
Kaazi Kweli Kweli.
 
Kama ana risiti basi ana haki zote za kumwadabisha huyo kilema

hawa jamaa huwa wanahonga sana nilisha wahi kushuhudia mlemavu mmoja aliyekuwa na cheo katika chama cha walemavu akihonga mpaka 100,000 .

sababu kubwa inakuwa nikutokana na maumbo yao na bibi inabidi aende kwa kujifichaficha asigudulike.
 

Elfu 60 ni nyingi sana. Inabidi TRA wamkamate huyu mama ili athibitishe kama analipia Kodi ya VAT hiyo kazi yake inayomuingizia kipato kikubwa hivi kwa usiku mmoja.




MIZAMBWA
INANIUMA SANA
Hiyo ni posho ya kujikimu (night out allowance), so haikatwi kodi
 
Ama kwahakika duniani kuna mambo tzs 60000 yalaa saidia masikini.Mkuu umesahau kuwa kushika chakula cha watoto nacho kina bei yake.
 

Elfu 60 ni nyingi sana. Inabidi TRA wamkamate huyu mama ili athibitishe kama analipia Kodi ya VAT hiyo kazi yake inayomuingizia kipato kikubwa hivi kwa usiku mmoja.




MIZAMBWA
INANIUMA SANA

Hata huko TRA imedhihirika kuwa fedha zinazokusanywa, zinachakachuliwa. Tanzania ni ufisadi karibu kila kona!
 
Hahaha, naniliu zimepanda bei jamani. Maintainance imekuwa ghali, zile dawa za kusafishia na kutighten ni ghali pia.
hongera kahaba kwa kutetea ajirabyako. Ungempeleka mahakama ya kazi, cha muhimu ni mlikuwa na verbal contract.
 
Back
Top Bottom