Ombi la picha ya kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi la picha ya kampeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukansola, Aug 31, 2012.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  habari zenu wakuu, nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 kulikuwa na picha ya wandishi wakiwa wamevaa jackets za press crew zimeandikwa kikwete 2010, au ccm something, kuna research nafanya naombeni mwenye picha hiyo au hizo anisaidie tafadhali, kwa kuwarahisishia kumbukumbu, nadhani ni wakati ule wandiishi walopofukuzwa huko kagera na kimna Muhingo Rweyewmamu
   
Loading...