Automatic Metre Readinf (AMR)- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Automatic Metre Readinf (AMR)-

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maswala, Aug 31, 2012.

 1. M

  Maswala JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 561
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kwa nini mtu alipe reconnection fee kwa AMRs, ambayo untendaji wake wa kazi ni unafanana na LUKU? Tena ni bora kuliko hata meter za LUKU kwa vile mtu anakata au kurejesha umeme akiwa mezani, ofisini TANESO. Reconnection Fee ilikuwa ni kugharimia mafuta na mtu aliyepaswa kusafiri hadi kurejesha ama kumkatia mtejea huduma za umeme.
   
 2. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  ubunifu wa kuwanyonya watanzania walalahoi.
   
Loading...