If you walk along the Dsm city centre a.k.a Posta utakubaliana na mimi kuwa mji wetu ambao ilipangwa vizuri sana na Wajerumani kwa sasa mitaa yake haipendezi tena kama ilivyokuwa kabla ya ujenzi...
Mtanzania ambaye amebobea katika masuala ya chuma amesema majengo kadhaa (majina ninayaifadhi) yatadondoka anytime kutokana na vyuma vyake kutokupimwa ubora wake
Ni maoni yangu kuna haja ya CHADEMA kuanzisha mfuko wa kusaidia watoto wanaoachwa na wahanga wa mauuaji yanayofanywa na polisi please please msiwaache hao watoto hata muwasomeshe japo hata kama...
Tukiwa kwenye majonzi juu ya mwenzetu aliyetolewa uhai na waporaji wa pumzi, ambao sisiti kuwaita watekaji wa demokrasia watumiwao na kundi la watu wachache wenye kujiharalishia madaraka kwa nguvu...
Wakuu habarini.
kikubwa nnachotaka ongelea hapa ni huu utaratibu wa kila linapotokea jambo tume zinaundwa. Kuunda tume yawezekana sio kitu kibaya, tatizo ni nyingi ya hizi tume kutokua na tija na...
Germany is ready to finance construction of the envisaged Serengeti Highway which will traverse the southern part of Serengeti but avoid disrupting wildlife activity in the national park.
The...
Kaya yangu ni moja kati ambazo zilikuwa hazijahesabiwa katika siku saba za mwanzo. Nilikuwa na maswali mengi kichwani, mojawapo likiwa kama mimi nipo mjini ambapo kuna miundombinu ya kutosha...
Wakuu
Mimi si mwanasiasa au mtoto wa mwanasiasa, lakini kwa haya yaliyo chini nimeshangaa!!!!!!!!!!!!! Ongezea mengine
1. Bunge kufumuliwa kwa rushwa na kukosa maadili ya uongozi.
2...
habar wanajamvi,polen kwa kuguswa na msiba wa kamanda mwangosi.
Kama ukifuatilia,mawazir,wabunge,wakurugenzi,nk wanapoapa wanamwomba Mungu awasaidie,.
Swal,je nyie polisi na tiss mnaapa kwa nan...
Ndiyo wakuu! Napenda kuwajuza kuwa mwili wa mwandishi wa habari channel 10 na mwenyekiti wa club ya waandisi wa habari mkoani Iringa ,ndgu Daudi Mwangosi unatarajiwa kuhifadhiwa leo jioni. RIP...
Tbc imerudi miaka ya 60,kimekuwa chombo cha propaganda,rang nyeusi utaambiwa ni nyeupe.Kwenye Migomo ya ma dr.kilikanusha,leo baada ya mauaji ya mwandissi wa habari iringa jukwaa...
sisi kama wa kristo ni lazima tupiganie katiba mpya iseme na itaje wazi wazi ushiriki wa madhehebu yote ya kikristo katika kutumia vyombo vya umma tbc.mwanzoni hili lilikuwepo lakini kwa sababu...
Nimefuatilia matamshi ya kiongozi huyu wa CCM aliyelazimika juiuzulu Uwaziri Mkuu, na sijapendezwa na matamshi yake yanayoendelea kusikika katika vyombo vya habari, hata leo.
Mwalimu alifanya...
Wanabodi,
Mratibu wa Sensa Wilaya ya Kinondoni Ando Mwankunga, amesema watu wanaoishi katika kaya zaidi ya 243 wiliyani humo wamekataa kuhesabiwa.
Alisema watu zaidi ya 40 waligoma...
Hawa FFU ni maroboti hebu waangalie wakiwa kwenye defender na mavazi yao jinsi unavyo waona ndivyo walivyo.Hata ukiwambia wasukume mlima wanaenda kusukuma tena hata ukiwaambia wameze mabou...
Nimefika Mpanda kwa ajili ya mazishi ya askofu wetu Mpendwa Kikoti,nikiwa Mpanda nimefanya utafiti wa uhai wa vyama vya CHADEMA na CCM.Nikianza na CCM pamoja na kuwa waziri mkuu anatoka eneo ili...
Uchunguzi wakawaida utagundua idadi kubwa ya waliokosoa serekali kutaka kipengele cha dini ktk sensa ni wasomi wa kiislam waliopitia vyuo vikuu vya taifa ambao wanaujua mfumo mzima wa serekali...