Chadema Katavi-soma hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Katavi-soma hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngonani, Sep 1, 2012.

 1. n

  ngonani JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Nimefika Mpanda kwa ajili ya mazishi ya askofu wetu Mpendwa Kikoti,nikiwa Mpanda nimefanya utafiti wa uhai wa vyama vya CHADEMA na CCM.Nikianza na CCM pamoja na kuwa waziri mkuu anatoka eneo ili na anaheshimiwa sana,lakini wakazi wengi hawataki hata kuisikia CCM, kwa Mpanda ni kama CCM haipo kabisa,hata ukipita jengo lao la CCM siku za kazi uatgundua kwamba ni ghost ofice,vyumba vingi vimefungwa na hakuna kinachoendelea kabisa,kila sehemu bendera za CHADEMA zinapepea kila eneo.Hata hivyo kinachosikitisha ni kwamba pamoja na kwamba watu wa hapa wana mahaba sana na CHADEMA na jimbo liko chini ya mbunge SAID ALFI wa CHADEMA,cha kwanza CHADEMA haina ofisi yoyote inayotambuliwa,hata kama mtu ana shida ya kadi au kuchangia chama hajui pa kwenda,kwa jinsi CHADEMA inavyopendwa ilibidi wawe na ofisi yenye hadhi.

  Nimeelezwa kuwa mbunge wa hapa kaisha amua kuwa 2015 hataki tena kujaribu hivyo hana muda na uhai wa chama jimboni na inasemekana ameisha hamia Dar kwa kisingizio cha afya yake yenye mgogoro na hana mpango wa kurudi Mpanda,alidanganya wanachi kuwa amewanunulia gari la wagonjwa lakinini kumbe ni gari bovu na tangia amelileta miaka miwiwli iliyopita limepaki mbele ya nyumba yake hata rangi limeisha pauka.Wananchi wnadai ilikuwa ni changa la macho.

  CHADEMA makao makuu fanyeni hima kuimarisha majimbo ambayo tayari yako mikononi mwenu kwa kimarisha chama na kujenga ofisi,vinginevyo mtaja pokonywa haya majimbo kwa kukosa umakini.Said Arfi hana interest tena na Mpanda kwani alichotaka amepata na hana mpango wa kugombea tena hivyo hajali hata kama jimbo likirudi CCM.Jengeni ofisi na anzeni kuandaa mtu kwa ajili ya 2015.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wamekusikia, nasikilizia upepo unavyoenda huenda nikamrithi Said Arfi ubunge 2015.
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Moja wapo ya makosa ya msingi ambayo chadema inayafanya nikuto kuweka au kuanzisha ofisi za majimbo! Amini msiamini wana chadema wenzangu hili ni kosa la kiufundi wala hatuhitaji kujitetea kwa hili bali kuchukua hatua madhubuti na kutembea juu ya kauli.

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums
   
 4. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  CDM makao makuu tulifanyieni kazi hili fasta. kwanza inatakiwa tuwe tumeshaandaa mtu wa kutufanyia kazi kule fasta wananchi wajue kabisa kuwa mrithi wa Alfi yupo, CDM hii nafasi tusiiache jamani, tuendelezeni mapambano kote kote.  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
   
 5. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nampongeza mtoa habari, naona ametoa taarifa za kujenga chama, kazi kwa cdm kurekebisha kasoro hizi

  viva cdm
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Saidi Arfi ataondolewa akitaka asitake. Hii ni chokono imeanza.

  Zitto, Safari, wangoje siku yao.

  Jinsi haya mauaji ya chadema yanavyoendelea kuna kila sababu za hawa watu kutokukubalika kwani wao hawana imani ya kuuwa.
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Tangu ukabidhiwe mgodi wa Tanzanite na biashra ya kusafirisha twiga na faru umejenga sana kiburi ndio maana Jakaya na Saidi Mwema wanatoa amri ya ua ua wewe huoni yana mwisho nchi hii siyo ya mama yako yetu sote tafakari
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ya mama yako wewe.
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  Mbona povu linakutoka we kibudu?...
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na huo ni nini ? uharo?
   
 11. N

  Noboka JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,145
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Hili la ofisi si Mpanda tu hata hapa Dar, maeneo mengi hayana ofisi za CHADEMA, ningeshauri hivi, pamoja na mambo mengine ya wabunge, lakini wahamasishe watu kwenye maeneo yao wafungue matawi, ukweli kinachotakiwa na hamasa kidogo tu watu wako tayari kulipia ofisi kwa gharama zao na kukiendesha chama.
   
 12. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  well said, inapopita m4c inatakiwa kuwe na maandalizi ya kesho inakuwaje.
   
 13. t

  tenende JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wasiliana na viongozi wa mpanda ili maandalizi yaanze mapema.
   
 14. t

  tenende JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Pesa za kuendeshea ofisi zinatolewa na makao makuu kwa kila mkoa, wilaya na jimbo. Sehemu yoyote isiyo na ofisi wanaotakiwa kulaumiwa ni viongozi wa mkoa, wilaya au jimbo. Mimi kama mwanachama nimeshiriki uanzishaji wa ofisi ktk majimbo manne!. Kila mwanachama ana wajibu wa kufanya kazi hii.
   
 15. w

  white wizard JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,463
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Ndugu acha uongo ,mengine nakubaliana na wewe kiasi fulani,ila juu ya gari la wagonjwa ckubaliani na wewe,mbona lipo barabarani siku zote hata leo nimeliona!?ni ki hiace.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,383
  Trophy Points: 280
  Now its our time, wamesha geuka wapinzani
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,977
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  pumpkin head:thumbdown::thumbdown:
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,977
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  kwani hujui propaganda?
  Hadithi imeanza na maziko ya askofu. . . .read between the lines.
  Jambo la kuwa na ofisi za jimbo halikwepeki, na ni jambo muhimu. Japo yanayoendelea kufungua matawi na ofisi za kata na wilaya ni jambo la msingi sana.

  Mkumbuke wabunge wanajitolea ku rent au hata kijenga ofisi zao, sio CHADEMA tu, hata wabunge wa CCM wanafanya the same.

  sio kila kitu kifanywe na chama, hata halmashauri zinaweza kujitolea jengo. . .kumbuka mbunge ni wa wote sio wa chadema tu.

  naona kuna ***** wa limumba kashaingia hapa na mambo yake ya udini.
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  CDM changamoto hiyo na msifanya utani. It is an opportunity. Fanyeni hima mkaimarishe kule haraka iwezekanavyo. 2015 mnatakiwa nchi nzima muwe mumeimarika ifikapo 2014.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unategemea utaona nini zaidi cha CCM? wakati wewe ni gwanda! Sijui uliona barabara iliyokufikisha huko?
   
Loading...