Germany is ready to finance construction of the Serengeti Highway and avoid disrupting wildlife | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Germany is ready to finance construction of the Serengeti Highway and avoid disrupting wildlife

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by R.B, Sep 4, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  [h=3]Germany is ready to finance construction of the envisaged Serengeti Highway which will traverse the southern part of Serengeti but avoid disrupting wildlife activity in the national park.[/h] [​IMG]

  The Minister for Natural Resources and Tourism, Mr Khamis Kagasheki
   
 2. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama nchi mfadhili inasema iko tayari kufadhili huo mradi kwa sharti kuwa usiingilie maisha ya wanyama na nchi mfadhiliwa inabisha, je hawa wafadhili si wanaweza kwenda 'hatua' zaidi mbele?
  Pia tukumbuke kuwa conservation areas karibia zote walizibuni wao kama walivyotubunia mipaka ya nchi zetu na ndio wamekuwa wakitoa pesa, wataalamu na hata tafiti kuziendeleza
   
 3. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kwa kuenzi mazingira wajerumani mwisho sana bana. Weacha tu. Serikali yaweza kukataa sababu hakuna 10%
   
 4. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Kwa mawazo yangu Wajerumani wange ombwa ku-finance ukarabati wa permanent way ya reli ya kati. Nasikia kuna wakati fulani walitaka kutoa msaada wa kuikarabati upya reli hiyo - sijuhi kulitokea nini tena! Mh.Mwakyembe hilo anapaswa kulifanyia KAZI.

  Kuhusu Serengeti Highway nafikili Wajerumani wana interest ya kusaidi kwa kuwa makao makuu ya Shirika la Wildlife yako Ujerumani kama sikosei.
   
 5. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ukiona Mchina amechukua dili lolote ujue kuna 10%...
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hawa Wajeruman wanalo lao Jambo na sehemu Barabara itapita kuna MAHANDAKI AMBAYO BABU ZAO WALIFUKIA VITU VYA THAMANI SANA BAADA YA KUSHINDWA VITA KUU YA KWANZA YA DUNIA, na lengo lao si kujenga hiyo balabala bali kufumua hayo mahandaki na kuchukua Dhahabu, almasi na madini mengine yaliyo fukiwa na BABU ZAO
   
 7. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hawa wajerumani wpo kwenye economic crisis, tujiulize pesa za msaada zinatoka wapi ( i mean what do they get in return?).
  Think, Think, Think
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hizi ni hadithi tu hakuna ukweli ndani yake

  Ila kwa hakika Wajerumani wanaweza kuwa na masilahi kutaka kuijenga barabara hiyo - Lakini jee kuna cha bure duniani?

  Tusiachilie mradi wenye manufaa kwa kuogopa wafadhili kufaidi - wakati wenyewe hatuwezi kuutekeleza.
   
 9. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha wajenge Wajerumani wana senti, pesa yetu sisi ipo kwa ajili ya kununulia rada, safari za mkulu, ma-BMW ya ikulu na mengine nisaidie kuyataja, acha maendeleo yaje.
  Mwakyembe kawapigie magoti wafufue reli yao ya kati, mabasi na malori yanatuuwa sana njiani.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Ile timu iliyotaka kuitumia reli ya kati kwa manufaa yao waliwapiga chini...tender ya kumpata mwekezaji wa reli ya kati ilikuwa shughuli pevu.
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Germans are not in the financial crisis...basically they are financing other troubled economies in Euro Zone.
   
 12. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  They will soon be if those countries they finance do not recover!
  anyway, the point I want to make is that, donors take *100 more than what they give us. its time to stop begging
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Sasa safari za wakuu kwenda ulaya na marekani zitakuwa kufuata nini?
   
 14. M

  Mundu JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Lets think together basi Mrembo...
   
 15. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mkuu, ipe jf haki yake!

  Pia hapa tukumbuke kuwa sio vizuri kuingiza siasa za ccm, cdm, uamsho, Kenya nk bali tuangalie uhalisia wa hili suala. Najaribu kuangalia jinsi wanyama wanavyogongwa pale Mikumi pamoja na vizuizi, maonyo na elimu yote inayotolewa kwa watumiaji wa barabara. Alafu unganisha hii hali na kile kinachodhaniwa kuwa 'Maajabu ya Dunia' ambayo yanainvolve movement ya wanyama!!
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  :doh: Ujerumani ni ecomony ya nne duniani kwa GDP na ya kwanza Europe, hawana shida na hivyo vitanzanite vyetu.
   
 17. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu sasa kwa nini Mh.Mwakyembe asihitishe mafaili ya TENDA hizo akazipitia, alafu akawakaribisha Wajerumani wakashiriana na Wachina wakakarabati reli ya kati in no time. Labda niongezee hapa kwamba kihistoria Wachina na wajerumani walikuwa wanashirikiana sana kiufundi hata wakati wa vita vya baridi.

  Mfano ni hizi locomotive za Diesel Hydraulic na mashine nyingine kubwa za uchongaji wa vyuma na ku-fabricate, Serikali yetu ingechangamkia Nchi hizi na kuwaomba wasaidie katika ufufuaji wa reli ya kati wangekubaliwa tu, lakini haya mambo ya kutegemea Merikani hatatufikisha mbali - wao wanatoa vyandalua na dawa za ARV lakini ukija mambo ya ufundi na ujengaji wa viwanda Merikani haiko keen katika hilo wanataka tuwe tegemezi wakati wote.

  Wenzetu Wakenya wamekwisha lishtukia hilo ndio maana wako beneti sana na Wachina na wanawatumia kikamilifu kweli kweli! Yaani sisi tulio saidia Uchina irudishwe umoja wa mataifa tunashindwa kuwatumia kikamilifu kwa manufaa ya TAIFA letu - Kenya itatuacha kwenye mataa kiviwanda na mihundo mbinu, Wachina watawasaidia sana.
   
Loading...