Mwili wa Daud Mwangosi kuzikwa jioni leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwili wa Daud Mwangosi kuzikwa jioni leo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OMUSILANGA, Sep 4, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu! Napenda kuwajuza kuwa mwili wa mwandishi wa habari channel 10 na mwenyekiti wa club ya waandisi wa habari mkoani Iringa ,ndgu Daudi Mwangosi unatarajiwa kuhifadhiwa leo jioni. RIP DAUD MWANGOSI . Source : Magic fm radio.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,938
  Trophy Points: 280
  Aisee! RIP Mpiganaji.
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mungu yupo na anaona na hata hawa wanaosema watatawala daima na milele anawajua vizuri.
   
 4. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  siyo mwili ni mabaki ya mwili wa marehemu, raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie amen
   
 5. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  "Bwana ametoa ccm wametwaa sereakali ya ccm ilahaniwe"
   
 6. O

  Original JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kikwete hapo ikulu unajisikiaje tokana na vitendo vya polisi kuua raia wasio na hatia?. Nina uhakika kwamba utafikishwa mahakamani mara tu baada ya chadema kuchukua madaraka.
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Tumzike apumzike naye aingie kwenye listi ya babu wa loliondo, mrema, ulimboka
   
 8. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Lala pema peponi! AMEN
   
 9. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  RIP Mwl Daudi Mwangosi.
   
 10. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nimedokezwa na jamaa zangu walioko tukuyu kuwa huko ulinzi ni mkali, polisi wanahofu vurugu zinaweza kutokea dhidi ya viongozi wa serikali watakao hudhuria mazishi kutoka kwa wananchi wenye hasira. RIP Mwangosi
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wanaenda kuhudhuria nini wakati wao ndio walioruhusu mauaji yake?wasiwe na hofu wao wa relax tu kwa sasa,muda utakapofika wa kuwa adhibu tutawachomoa mmoja baada ya mwingine popote pale walipo,iwe wamestaafu au hawajastaafu
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwi kwi kwi kwi, wallah afe ye na kikwete, nitakesha calabash najidunga dompo!
   
 13. m

  murray esten Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  r i p daud
   
 14. F

  Froida JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mbona sasa hivi ndio wanashusha mabaki kwenye kaburi lake wanafanya siri kuogopa kwamba wanyakyusa watafanyia kweli mapolisi hata kwenye msiba hakuna polisi wala kiongozi yeyote wa CCM wala serikali zaidi ya viongozi wa chadema ,nadhani waandishi watatupa picha za mazishi punde manake wamejaa huko
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Bwana ametoa, policcm wametwaa bila ridhaa.
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. m

  mayere Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rip broo
   
 18. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kandoro anataka akaseme "marehemu alikuwa mchapakazi mpole na mtu wa watu".
  Japo ni kweli ila inachochea hasira kwa kuwa wao ndio wauaji!
   
 19. L

  Leodgard Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  R.I.P kamanda!!
   
 20. n

  nyouya Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumuombee kwa Mungu ili apokelewe mahali pema peponi
   
Loading...