Ukisikiliza taarifa ya habari TBC1 utakosa habari zenye uhakika na ukweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisikiliza taarifa ya habari TBC1 utakosa habari zenye uhakika na ukweli.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by augustino ameri, Sep 3, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tbc imerudi miaka ya 60,kimekuwa chombo cha propaganda,rang nyeusi utaambiwa ni nyeupe.Kwenye Migomo ya ma dr.kilikanusha,leo baada ya mauaji ya mwandissi wa habari iringa jukwaa wahaririLIMETOA TAMKO WAO HAWAJAOONGEA KABISA.
   
 2. m

  markj JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mkuu bado unalete habari za tbc humu jf, wenzako tulishasahau kama kuna hiyo channel kabisa. achana nao hao wasikuumize kichwa endelea na shughuli zako tu
   
 3. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  TBC kwani ndo nn? hv bado kuna watu wanasikiliza tbc, mm hata sitaki kuisikia kwani imejaa ubabaishaji. ningependa kama ingefilisika kabisa kama ilivyotokea kwa ATCL
   
 4. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  TBC husikilizwa na huangaliwa na watu wasiokuwa na dira,unaangalia ya nini?
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  TBC hapa nimebakiza kipindi kimoja tu cha TAZAMA
   
 6. m

  markj JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ndiko wanakoelekea! mana hata idara yake ya masoko kwa upande wa natangazo lazima ishuke kwa kuwa watu hawaifagilii tena na wenye kutaka weka matangazo si ndo wanyeyuka kidogokidogo! labda itaendeshwa kwa kodi zetu kwa asilimia zote miamoja
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  achana nacho, maana soon kitakuwa tazamwa
   
 8. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Naacha kabisa TBCCM
   
 9. shimwemwe

  shimwemwe Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli katika vyombo vya habari ambavyo vimepotea basi ni tbc baada kukifnaya tbccm, sijui kama kuna tofauti na uhuru. ukweli na uwakika ni uongo wa ukweli daima
   
 10. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  'Zoezi la Sensa limeenda vizuri kwa Zaid ya 95% na Sheikh Ponda amehesabiwa'- TBC
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Umeona eeeeeeee!

   
 12. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chereko!
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kodi yetu hiyo inaenda kufanya propaganda za CCM...Ipo siku kitakuwa chombo huru cha umma.
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sehem yenye mkono wa ccm mambo yanakwenda kama hivyo
   
 15. Mourinho

  Mourinho JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,622
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Cha aibu zaidi ndio chaneli pekee ya kitanzania iliyowekwa Dstv.
   
 16. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Labda wanaoogopa kisiwakute chaa Tido Mhando.TV ya ukweli Bongo ni ya mzee wetu Reginaldi tu
   
 17. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Tbc ingebaki kuwa stesheni ya kuonyesha Komedi hapa nchini Haina haja ya kurusha vipindi vingine, Komedi tu asubuhi hadi jioni
   
 18. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  It was written......"all institutions being backed by the state are for nothing than domination......domination of the middle and lower class....they are but for Ideological purposes......ideology that guarantee the survival of the upper class.....;rulers and capital owners.........."

  Need I quote more......................?????
   
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tatizo liko wapi unapesa za walipakodi tunawapa ruzuku hawa bwana, wacha wale watangaze propaganda
   
 20. b

  bamku JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 80
  angeliuawa mwandishi wao je?
   
Loading...