Manager
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 531
- 73
Wakuu
Mimi si mwanasiasa au mtoto wa mwanasiasa, lakini kwa haya yaliyo chini nimeshangaa!!!!!!!!!!!!! Ongezea mengine
1. Bunge kufumuliwa kwa rushwa na kukosa maadili ya uongozi.
2. Madaktari kugoma, kutishiwa kuuwawa na kuteswa kwa kiongozi wao (picha bado ipo studio, vuta subira)
3. Walimu kugoma, kutishiwa kufa na kunywea
4. Gazeti la Mwanahalisi kufungiwa
5. Udini kushamiri (hakuna tamko)
6. Makanisa kuchomwa moto na mali zao kuharibiwa (hakuna tamko)
7. Watu kugomea sensa kwa sababu za kidini
8. Vifaa vya sensa na malipo kucheleweshwa baada ya maadalizi ya miaka 5
9. Mzee wa vijisenti asafishwa na kupewa promotion
10. Viongozi wa upinzani kutishiwa kufa
11. Ally kuawawa mikononi mwa polisi lakini tamko kagongwa na flying object (mwaka huu mtasikia mengi)
12. Mwandishi wa Habari wa chanel 10 kuuawa na polisi huko Iringa. Kamanda anasema ataka astaafu vizuri
13. Tanzania ni ya pili kwa RUSHWA hapa East and Central Africa (huu ni uonezi, ilifaa tuwe NAMBARI ONE)
14. ONGEZEA HAPO NA CHUKUA HATUA
15.............................................