Kila siku tume zinaundwa tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila siku tume zinaundwa tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Firewall, Sep 4, 2012.

 1. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu habarini.
  kikubwa nnachotaka ongelea hapa ni huu utaratibu wa kila linapotokea jambo tume zinaundwa. Kuunda tume yawezekana sio kitu kibaya, tatizo ni nyingi ya hizi tume kutokua na tija na suluhisho ya hayo yanayojitokeza.. Hapa si tunafanyiwa danganya toto tu?? Tume nyingi zinatumia pesa nyingi za walipakodi halafu mwisho wa siku tume hazileti feedback ya kueleweka, na hata kukiwa na feedback ya kueleweka, wajanja wachache wanazizima! Mfano wa kifo cha huyu mwandishi, Polisi wanasema sio wao walioua halafu tume imeundwa. Kuna dalili kweli ya ukweli kupatikana? binafsi naona huu ni usanii! labla kama kuna mtu mwenye rekodi yoyote karibuni ya tume yoyote iliokabidhiwa majukumu alafu tukaona matunda yake. Nini mawazo yako? Nawasilisha.
   
 2. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,545
  Likes Received: 1,591
  Trophy Points: 280
  jiulize tume hiyo inachunguza, au itapika taarifa, Dont be far. Subiri taarifa ya tume maana tukio liko wazi kabisa tena mchana kweupe...
   
 3. papason

  papason JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Kulikoni kuunda tume ni bora tuwaite ma Scotland Yard Investigators, ndani ya siku 3 tayari watuhumiwa wote mbaroni na tena hao ma scotland yard hawatumii 'mamilioni' kama itakavyo tafuna hiyo tume yao!

  Inashangaza sana kila kitu kiko wazi kabisa,ushaidi wa kutosha kabisa, ni swala la kuwaburuza mahakani tuu na kuwatandika miaka yakutosha kabisaa jela kama si kuwanyonga alafu leo anaibuka complicator mmoja na wazo la kipuuzi la kuunda tume itakayo chukua miezi kadhaa kufanya uchunguzi!
   
 4. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uko sahihi papason.. Baada ya miezi kadhaa ya tume mwisho wa siku ishu inaisha kimya kimya.. Tume imepewa mwezi nadhani!
   
Loading...