Tusiwalaumu polisi hawa ni maroboti alaumiwe amiri jeshi mkuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiwalaumu polisi hawa ni maroboti alaumiwe amiri jeshi mkuu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by augustino ameri, Sep 3, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa FFU ni maroboti hebu waangalie wakiwa kwenye defender na mavazi yao jinsi unavyo waona ndivyo walivyo.Hata ukiwambia wasukume mlima wanaenda kusukuma tena hata ukiwaambia wameze mabou mengine wananameza hawana muda wa kufikiri.Hawatakiwi KUSOMA sana hawa wataelevuka na kugoma kutii amri ya mkuu waache hivyohivyo wawe maroboti.Tena walipe mishahara midogo wasinenepe wakakashindwa kufanya kazi?wapewe pombeZA BEI YA CHINI walewe ILI WAKOSE MUDA WA KUFIKIRI KWA MAKINI.
   
 2. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  swali na jibu umeshatoa, akiambiwa hata amkamate Baba yao atamkamata
   
 3. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ili uwe askari polisi lazima kwanza uwe chizi
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  M2 wang ulipocema amir jesh mkuu umenikumbusha msanii m1
  Amiri jesh mkuu crazy Gk ndani ya kikosi chake. Dah! long time
   
Loading...