Hivi sakata la moto ulounguza study ya Mh. Mkapa pale ikulu liliishia wapi.
Je ulisababishwa na nini? inawezekana ikulu kukosa fire detectors?:hatari::flame:
Na Danson Kaijage, Dodoma
MBUNGE wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (CCM), analalamikiwa na kina mama ambao wanajishughulisha na kazi ya ufundi rangi kwa kitendo cha kutowalipa sh 750,000 baada...
Nimekua nikifuatilia vipindi mbalimbali katika radio mbalimbali hapa nchini, bt capital radio wanahitaji pongezi, hawa jamaa wako very objective hususani wanaoendesha kipindi cha morning jam.
Hapa Tanzania ukiwa na kadi ya Ccm na unatetea ufisadi basi hata kama si raia unaweza kuwa diwani, mbunge au hata waziri ili mradi uwe upande wa chama cha mafisadi. Mmoja wa hao watu ni Peter...
palipotoke mauaji ya kamanda mwangosi,tume ya wahariri ilito mwongozo kwa vyombo vyote vya habari kususia habari za jeshi la polisi,lakini hawa TBC wapo bize kuwa uzisha sura polisi.
Je...
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show
- Jakaya Mrisho Kikwete
- Said Mwema
-RPC's wa mikoa viliko tokea vifo
-Chagonja
-Tendwa
Ruksa kuongezes yawezekana nimewasahau baadhi
tukio la kusikitisha limetokea Bunju beach Masaiti, baada ya majambazi kuja na stail mpya, staili waliohitumia ni kuchukua Defender kama ya Police na kuchukua kijana mmoja kujifanya amewekwa chini...
watu wapatao sita wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa chimbila (mnacho) wilayani ruangwa mkoani lindi.
Jitihada za kuwaokoa watu hao zimekuwa zikiendelea japo zinaendelea...
Sulemani Kova amezoea sana kuita waandishi wa habari na kutoa taarifa mbalimbali za kuhusu kukamatwa kwa majambazi na kuonesha silaha/bunduki zilizokamatwa. Kutokana na mgomo wa waandishi kuandika...
Ndugu zangu wana JF, taarifa ya uongozi wa kampuni ya Africa Media Group ambao ndio wanamiliki wa Kituo cha Televisheni cha Channel 10 wa kuitaka Serikali kuanzisha uchunguzi huru ili kubaini...
jamani, habari zenyu bhaana. Samahani lakini. naomba kujua kwa anaeelewa kuna mipete flani mikubwa wanaume wengi, viongozi na watu wenye uwezo mkubwa kifedha hupenda kuyavaa. hivi zile'pete ni za...
Sijua mamlaka zinazohusika zimelala usingizi gani yaani maTrafick na EWURA.umbali wa hapa Nzega-Tabora ni KM 116 nauli ni kuanzia Tsh 12,000 mpaka 15,000 hailingani kabisa na hali halisi. wakati...
The Minister for Natural Resources and Tourism, Ambassador Khamis Kagasheki, has warned professional hunters against using financial muscles by bribing officials at the ministry to sidestep...
Ajali mbaya imetokea muda huu kati ya basi ya abiria la Ally Bus Service lililokuwa linatoka Bariadi kwenda Mwanza lilipogongana uso kwa uso na lori la mzigo maeneo ya malampaka na kwa bahati...
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni...
Tumesikia mengi sana maovu ya nchi yetu lakini yamekuwa yakiisha bila watanzania kufahamu yameishaje, mfano: zile pesa za richmond, epa, kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi, kuteswa kwa dr...
Ni masaa manne toka nimeingia benki, nasubiria cheki ihakikiwe, sababu wananiambia kwa kuwa cheki ni ya tawi lingine. But 4 hours and I'm still waiting?? Muda ambao ningetumia kwenda kurudi kwenye...
Homeless children lie on the terrace of the Benjamin William Mkapa building on Posta Mpya Street in Dar es Salaam.
The gevernment kicked off a programme on Saturday (September 1st) to take more...
Jamani naomba wahusika waifanyie kazi kero tajwa hapo juu,kwa week hii foleni imekuwa too much.polisi waliowekwa pale ubungo hawana uzoefu na foleni husika.ushauri wangu wazoefu warudishwe.
Naomba...