Serukamba aliwahi kuomba uraia wa Tanzania au aliidanganya kuwa ni mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serukamba aliwahi kuomba uraia wa Tanzania au aliidanganya kuwa ni mtanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jimatem, Sep 5, 2012.

 1. j

  jimatem New Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa Tanzania ukiwa na kadi ya Ccm na unatetea ufisadi basi hata kama si raia unaweza kuwa diwani, mbunge au hata waziri ili mradi uwe upande wa chama cha mafisadi. Mmoja wa hao watu ni Peter Serukamba pamoja na ukweli kujulikana kuwa si raia wala hakuwahi kuomba uraia mpaka sasa ili ni mbunge na mpambe wa mafisadi
   
 2. g

  gabatha Senior Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Serukamba sio raia na hili lipo wazi ila anatetewa na mfumo mbovu wa system kwa maslahi ya mmoja wa wagombea uraisi 2015.Ana cheti cha ukimbizi na pia amesomeshwa sekondari na UNHCR. Hata kesi yake ya kushinda ubunge Kigoma mjini inafunikwa funikwa kwa kushirikiana na baadhi ya waandishi wa habari ktk ITV hasahasa hyu deogratias Nsokolo na hata mmoja wa WAHriri wa Tanzania Daima ambaye ni mtu wa karibu wa EL. Yasemekana pia hata ZITTO anasadikiwa kuwa yuko kuhakikisha kuwa Serukamba hapotezi jimbo hlo mahakamani!
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  uzushi mwingine haufai kusikilizwa. Kwani ninyi siyo wakimbizi?. Wakati mwingine upumbavu haustahili kutumika hata gizani.
   
 4. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Acha siasa zako za majitaka. Peter Serukamba ni mtanzania kwa kuzaliwa, kwa kuanzia,
  1. Nenda Kijiji cha Mkigo,tarafa ya Kalinzi,jimbo la Mhe Zitto, pale upo ukoo wake, ulizia Mzee Charuza,na ukoo wa Kilima. Mama yake Peter Ukoo wake upo hapo,Mababu na mabibi zake...
  2. Propaganda kama zako si Ngeni, ziliibuliwa alipokwenda kuomba ateuliwe kuwa Mgombea wa CCM, Siasa chafu ziliibuka na Kukata mzizi wa Fitna watu walikwenda kuulizia hapo kijijini, na Ukweli ulidhihirika...
  Hivyo,nakusihi uache kuongelea vitu kwa chuki binafsi. Mtuhumu huyu mwanaMagamba Peter Serukamba kwa mengine siyo hili la URAIA.
   
 5. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   
 6. m

  mgadafi Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama mama yake yupo ilikuwaje akachangia ziwa moja na zitto kabwe
   
 7. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Bangi mbaya sana...
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mtanisamehe huwa nikona mada za kimagamba nacheka sana kwani hazina kichwa wala mkia
  Mungu mwema sana anawapa kiburi kama cha farao na 2015 mtazama wote majini kwa kukosa maarifa
   
 9. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  'wakimbozi'?
   
 10. h

  hamsinij JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Je na tuhuma za ushoga? Teteeni tulete ushahidi hapa
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kweli pia ana kashfa ya ushoga!!!kazi ipo!!
   
 12. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Hili ndo kwanza nalisikia kwako.
   
 13. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Yeye kama nani kuingilia uhuru wa mahakama.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli
   
 15. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Mkuu Skills4Ever Usijiingize kwenye shombo hili la ushabiki,tena bila Facts. Hizi ni tabia za wakosa hoja,Tena Magamba ndo zao hizi..Unakumbuka habari za kina Dr SAS,Bashe,et al? Mimi siipendi CCM na watu wake na mambo yao, lakini Ukweli, huyu jamaa ni MTANZANIA KWA KUZALIWA, WAZAZI wake wote wawili nao ni Watanzania kwa kuzaliwa,Mama yake (? Kilima Ntibayizi), Baba yake Mzee Joseph Serukamba. So hizi propaganda hazina maana. Pia ni kwanini watu wa Kigoma Kina Zitto ndo wanafikiliwa WAKIMBIZI, lakini hali ni tofauti kwa sisi watu Musoma,tarime kule(Wajaluo ),au Arusha wamasai na Wameru (amabao wapo Kenya,Na kuna mwingiliano mkubwa mno kati ya Jamii za hizo Kenya na Tz??) au Mtwara (wamakonde,kumbuka wanaingiliana sana na Mozambique)?? Kwanini inakuwa Special Case tuu kwa Watu wa kigoma? Epuka mitego hii,ni ya wavivu wa kufikiri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. P

  Penguine JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Siyo bangi kaka. Huo ndiyo ukweli, fanya uchunguzi hiyo habari ya ziwa moja ni kweli. usibishe usiyoyajua.

   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  so, politics remains the most premium business in the country!. A person is only mentioned not to be a citizen only and only if he/she contests for a political post, let me mention some of them:

  1. Peter selukamba

  2. Iddi simba

  3. Megji

  4. Sioi Sumari

  5. Mbunge wa sasa wa jimbo la Nyamagana.

  6. Bashe.

  7. Dr Kigwangwala

  Shame upon you all.
   
 18. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ndo maana Nikajiita UkweliKituGani...Hivi Penguine unaujua Ukweli halisi wa Peter Serukamba? au ni "UKWELI" gani unaoujua wewe? Am sure unaongea usichokijua. Mimi ninamfahamu jamaa ndani nje,pitia Post zangu kwenye uzi huu utajua ni nini nasema,vinginevyo unaongelea uzushi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 20. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kumbe na wewe umeona enh?
   
Loading...