Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo imetangazwa katika vyombo vya habari kuwa kanisa katoliki limetoa waraka wa mwongozo kwa waumini wake kuhusiana na katiba huku likihoji madaraka makubwa ya rais wa JMT niwajuavyo mimi hawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mh magufuri alihaidi kuwa kufikia 2015 sehemu zote za makutano hasa akataja ubungo,tazara na magomeni kuwa atajenga hizo barabara za juu sasa mbona kimya saiz naona mradi wa mabasi yaendayo kasi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanasiasa wote wana lengo la vyama vyao na mitizamo yao. Jamii forum iwe na kipengele cha kuwakosoa na kuwashauri wanasiasa hata wanajamii forum wenyewe. Kiongozi au mwanasiasa asiyekubali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi kuna mtu kanitonya kuwa kuna jengo ndani ya chuo kikuu cha Dodoma linawaka moto hivi sasa. Ninaendelea kufuatilia ukweli juu ya swala hili na ninaomba kama kuna mtu mwingine mwenye...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo nmeshangaa tangu asubuhi wanajeshi wanapishana barabara kila kona ya dar. Imenitia hofu sana sababu sio kawaida. hawakimbii mchakamchaka wala kuongea!, wanatembea mwendo wa haraka tu. kila...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jisogeze karibu na magic fm ili tumsikilize mda si mrefu ni Mike Mushi
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Miezi ya nyuma (kabla ya mwezi huu) , nilikuwa nikinunua umeme wa 5,000 (units 15) nakaa nao siku mbili. Lakini baada ya kuingiza Key Change Token, umeme uleule wa 5,000 unaisha kwa siku moja na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Britain's Most Expensive Home: £300m Hyde Park Mansion Belonged to Lebanon's late PM Rafiq Hariri By Toyin Owoseje: Subscribe to Toyin's RSS feed September 13, 2012 12:37 PM GMT This £300m...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Kwa wale tunaofuatilia vipindi vya BBC idhaa ya Kiswahili ,amka na BBC na dira ya dunia mtakuwa mme note tofauti ya kipindi cha kisa na mkasa cha Jumamosi asubuhi baada ya kuondoka Salmu Kikeke...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Rais wa umoja wa vyama vya waandishi wa habari Tanzania UTPC Keny Simbaya ameshindwa kuwashawishi waandishi wa habari wa mkoa wa iringa kuandika habari za wiki ya nenda kwa usalama barabarani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This is the song of peace It aims at all S.O.B's and D.O.B's You guys in fatigues With your totting guns Trigger happy as you always are You the killing machines, You who violate peace You who are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
check out this email guys...hawa watu bado wana mambo ya kizamani tu.. Please Reply Me With Honesty I sent you this email about two weeks ago and i got no response, so i am constrained to...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige ametangaza kuliuza nyumba yake aliyoinunua katika eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam kwa dola za Marekani 410,000 (takriban sh 700...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Union President Dr. Jakaya Kikwete has directed mayors in Dar es Salaam city municipalities and executive directors to properly realign and name the streets in the various suburbs to pave the way...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A vigilante mob in Guatemala took deadly revenge against a man who authorities said killed two children at a primary school. Interior minister Mauricio Lopez Bonilla said a drunken Julio Saquil...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Magazeti jana yameripoti kuwa serikali imeridhia matumizi ya GMO, huku ikisema kuwa nchi kama marekani, south africa na nyingine tayari wanatumia teknolojia hiyo. Hivi na ardhi yenye rutuba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Nimeshangazwa na drama ya mapolis wa iringa pale mahakamani. Polis mwenzao walikuwa wamemzingira huku wakizuia asipigwe picha na waandishi wa habari. Hakika action walizokuwa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwaka huu maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yataadhimishwa rasmi mkoani Iringa kuanzia tarehe 17 hadi 22 Septemba. Kauri mbiu ni "Pambana Na Ajali Za Barabarani Zingatia Sheria"...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kupatiwa latest updates kama kuna uwezekano wa kupata fao langu la NSSF baada ya kuacha kazi. Nakumbuka serikali dhaifu ilikuja na hoja dhaifu eti ni mpaka nitimize miaka 55 and above...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa sheria za kijeshi, askari wa chini kicheo au aliyechini ya Kamanda wa Oparesheni haruhusiwi kutumia silaha yake hadi apokee amri ya kamanda wake ya kutumia silaha hiyo. Sio hivyo tu, askari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…