Jamani mwenye taarifa kuhusu flying over za magfuri zimefikia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mwenye taarifa kuhusu flying over za magfuri zimefikia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by katule, Sep 16, 2012.

 1. k

  katule Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh magufuri alihaidi kuwa kufikia 2015 sehemu zote za makutano hasa akataja ubungo,tazara na magomeni kuwa atajenga hizo barabara za juu sasa mbona kimya saiz naona mradi wa mabasi yaendayo kasi ndo umepamba moto au nao nguvu ya soda jamani haadi nyingi utekelezaji zirooooo!!
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kenya wanazo fly over na wanafikiria kujenga treni za.chini ya ardhi by 2020
   
Loading...