Kwa hili nalo nawasubiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili nalo nawasubiri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzururaji, Sep 16, 2012.

 1. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Leo imetangazwa katika vyombo vya habari kuwa kanisa katoliki limetoa waraka wa mwongozo kwa waumini wake kuhusiana na katiba huku likihoji madaraka makubwa ya rais wa JMT niwajuavyo mimi hawa wenzetu watoto wa mke mdogo nao watatoa wakwao baada ya kuona kanisa limetoa
  wakati hayo tukitegemea yatatokea wakristo kadhaa wamegoma kula nyama ya mnyama yoyote ambae kachinjwa na muislam na kusema katika kitabu kitakatifu cha biblia hakuna sehemu inayo sema nyinyi wakristo mtachinjiwa wanyama wenu na waislam hivyo kusababisha mtafaruku kijijin hapo miongon mwa jamii hivyo hali hii imewapa wakati mgumu wauza nyama(bucha) walio wengi nilipo muhoji mama mmoja wa kikiristo kwanin wanasimamia huo msimamo amesema waislam wamefanya kuchinja kama njia ya kujipatia kitoweo kwani wamekuwa wakidai sehem ya nyama ya mnyama aliye mchinja kwa mfano akichinja kuku hudai kichwa shingo miguu pamoja na paja moja hayo ndo yaliopo kijiji hapo wakuu
  my take
  tanzania tuitakayo yaja
   
 2. MAVUNO

  MAVUNO JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Waislamu tayali walishatoa kama hujapata subiri
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Kijiji gani hicho ulichokuta hayo?au ndio porojo za jumapili?
   
 4. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  kijiji kinaitwa muyombo
   
Loading...