Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KATIKA siku ya mwisho ya harambee ya kumchangia mjane wa marehemu Daud Mwangosi, Ndugu Zitto Kabwe amejitolea kumchangia mjane wa marehemu kwa kumlipia ada ya uanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi huwa mnajiuliza nadharia na hili neno WHY...WHY kwanini? hebu tumieni kamuda kadogo kutumia hii nadharia WHY kujiuliza....jiulizeni WHY? kuna watu kibao wamejiuliza Newton asked himself...
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Habari wana jamii wenzangu eti naombeni kuuliza kuhusu ku-update akaunti za benki sanasana benki ya CRDB bado zoezi linaendelea au nifungue akaunti nyingine.Naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ninalitambua kuwa kila mji,jiji duniani kunatakiwa kuwa katika mandhari nzuri lakini wanakuwa wameshatoa vipa umbele na kinachobki nikutengeneza mji/jiji!! Nia yangu nikutaka kujua hii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ajali iliyotokea ktk barabara ya Kilwa ya gari aina rav4, air bag vipi. Wanasema gari ilipinduka zaidi ya mara 3 lakini air bag haikutoka inakuwaje? Msaada p/z.
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Je, ni rahisi kwa taasisi kubwa kama Tanapa kusahihisha written interview (yenye maswali 25) ya zaidi ya watu 800 kwa masaa ma 5 tu na kutoa matokeo kuwa watu 30 pekee ndo wamefaulu kuendelea na...
2 Reactions
43 Replies
10K Views
jamani badala ya Watanzania kuhamasishwa wapigie kura vivutio vya utalii viingizwe kwenye maajabu saba ya dunia ni afadhali tuipigie Tanzania kura iingie kwenye maajabu hayo kwani hatutatoka haba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Raisi ajae 2015 ni mwenye sifa zifuzo. kwanza nilazima awe muadilifu.2 Mzalendo.3 Mpenda haki.4 Anaesimamia misimamo yake.5 Mwenye busara. kwa kutumia sifa hizo tano au vigezo hivyo unahisi nani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi watanzania tumelogwa, tumelaaniwa? Kwa nini kila mradi wa ujenzi mabarabara unafanywa na wachina? Hii ina maana gani kwetu wazawa? Na board yenu bora tu ivunjwe haina msaada wowote kwenu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Imeniwia vigumu kuelewa Nimesimamishwa na traffic wanakuja watu wengine wanasema wanatokea interpol wanaomba kukagua gari na hawatoi maelezo mengine mpaka niulize kwa ajili ya nini, wanajibu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Miaka kumi iliyopita mwanahabari mmoja aliwahi kuandika hivi: “Kuepusha fedheha kwa nchi mskini, kwanza lazima nchi msikini zitafute njia bora za kuleta maendeleo kwa wananchi wao Kwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
1. Once, all villagers decided to pray for rain, on the day of prayer all the people gathered but only one boy came with an umbrella ..... THAT'S FAITH 2. When you throw a baby in the air, she...
2 Reactions
0 Replies
744 Views
Kama vile haya mambo yalijulikana kabla tume ya katiba imedai ni ngumu kupata katiba kwa muda waliopangiwa ati imekuwa ngumu kupata maoni ya kila wananchi kama inavyotakiwa na hivyo kuomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wafanya kazi wa Tanzania hasa wa sekta binafsi, kwa namna moja au nyingine matumaini yao makubwa yapo katika bunge lijalo. Kuona ni kwa jinsi gani sheria kandamizi ya mafao ya kujitoa itakavyo...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
mkutano wa hazara uliofanyika jana kata ya magomeni Kilosa ulizihirisha kuwa serikali ya CCM isivyo wajari watz baada ya mkuu wa wilaya kuwapa ushilikiano wahujum uchumi walio vunja miundombinu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda huu iko moroko natokea Mbezi beach. Njiani tumeongoza na mh. Waziri wa fedha. Ameamua kutanua, je Ndio utatuzi wa Foleni....
0 Reactions
0 Replies
961 Views
World Animal Day04 Oct 20124 October every year: Celebrating our relationship with the animal kingdom. The aim of World Animal Day is to celebrate animal life in all its forms as well as...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Michelle Obama famously forgot her first wedding anniversary to her hubby, Barack. The week of the couple's first marriage milestone, as Michelle recalled on "The View," "He asked me, 'Well, what...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
TSHS 100/= SMS 10 TSHS 200/= DAKIKA 10 + SMS 25 + MB 10 TSHS 300/= DAKIKA 20 + SMS50 + MB 15 TSHS 400/= DAKIKA 30 + SMS 100 + MB 50 TSHS 1000/= DAKIKA 50 + SMS 25 TSHS 2000/= DAKIKA 100 siku...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…