Serikali dhalimu ya CCM inavyo wakumbatia wahujumu uchumi kilosa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali dhalimu ya CCM inavyo wakumbatia wahujumu uchumi kilosa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ZIMBOO, Oct 4, 2012.

 1. Z

  ZIMBOO Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkutano wa hazara uliofanyika jana kata ya magomeni Kilosa ulizihirisha kuwa serikali ya CCM isivyo wajari watz baada ya mkuu wa wilaya kuwapa ushilikiano wahujum uchumi walio vunja miundombinu ya viwanda ,kuwatumikisha watz bila kuwalipa stahiki zao, leo wajakupola ardhi kimabavu
   
Loading...