Ukaguzi wa magari yaliyoibiwa

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Imeniwia vigumu kuelewa Nimesimamishwa na traffic wanakuja watu wengine wanasema wanatokea interpol wanaomba kukagua gari na hawatoi maelezo mengine mpaka niulize kwa ajili ya nini, wanajibu wanatafuta magari yaliyoibiwa. This doesnt make sense kwanza hawana vitambulisho pili upewi utambulisho wowote wa kuonyesha kuwa umeshakaguliwa ili kurpusha kusimamidhwa na wengine else where. Naona hapa kuna kasoro.*Sujui nyinyi wana JF mnalionaje hili
 
wako sahihi kama ni sehemu wazi na trafik wapo. mabongo mna magari ya kupiga sana huko mamtoni.
 
Ni kweli kaka, sasa si hao tu wapo na majembe wahuni wale nao hivyo hivyo.
 
Najua hawatakiwi kutangaza lakini sio kupoteza muda wetu mara kwa mara bila sababu ya msingi
 
wako sahihi kama ni sehemu wazi na trafik wapo. mabongo mna magari ya kupiga sana huko mamtoni.

Kwakweli una upeo mdogo wewe unaona imekaa sawa hiyo au un muda wa kuchezea sidhani kama ni busara kusimamishwa ovyoovyo then traffic hakwambii kuna shida bali anakuja mtu mwingine and to make it even much worse gakuna utambulisho wowote wa kuonyesha nimeshakaguliwa
 
Hatujauliza wanakagua nini ila ni the way they are doing this job. kama hawataweka utaratibu maalum either wa vitambulisho maalum vya kuwatambulisha wao au kuweza kuaidentify gari ambazo tayari zimeshakaguliwa basi kuna uwezekano mkubwa wa nafasi hii kutumika vibaya na wahalifu.
Interpols are everywhere! Wanakagua hizi xpensive cars sio hvyo vikolola vyenu.
 
Hatujauliza wanakagua nini ila ni the way they are doing this job. kama hawataweka utaratibu maalum either wa vitambulisho maalum vya kuwatambulisha wao au kuweza kuaidentify gari ambazo tayari zimeshakaguliwa basi kuna uwezekano mkubwa wa nafasi hii kutumika vibaya na wahalifu.

Nakubaliana na wewe mkubwa lkn nimeona hadi wazungu ndani.....
 
Kubali kutoa ushirikiano nchi yetu ndo mwendo wake bana! Yakiachiwa mtaanza oohhh magari ya wizi yamesambaa mamlaka hazifanyi kazi
 
At least wangekuwa wanatoa stiker zinazoonyesha kwamba gari limeshakaguliwa kwani hili zoezi huwa linafanywa mara kwa mara
 
Wazungu kitu gani ndugu yangu wao ni binadamu kama sisi tu rangi isikubabaishe. they ain't nothing like us believe me ni vile tu wabongo hatupendi kujiamini na kujibidisha.
Nakubaliana na wewe mkubwa lkn nimeona hadi wazungu ndani.....
 
Au wagonge hata muhuri kwenye copy ya road license beacuse sticker zimekuwa nyingi na zingetengeneza njia nyingine ya wala rushwa na kama wakitumia stiker nina imani gari za kwanza kupata zitakuwa za wizi kwani polisi wanayajua sana magari ya wizi coz wao ni part ya mtandao wa wizi.
At least wangekuwa wanatoa stiker zinazoonyesha kwamba gari limeshakaguliwa kwani hili zoezi huwa linafanywa mara kwa mara
 
Samahi mkuu, kwa nini unatumia picha ya mbunge wetu akiwa na kijana wake kwenye avatar yako?
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Livanga uko sahihi ata me nishajiuliza ilo swali,zoezi ni muhimu hatukai kabisa ila watoe utambulisho wawe na vitambulisho na waweke alama yoyote kama gari limekaguliwa kutoa kupotezeana muda na hasira zetu barabarani!!kwanini wasifanye hivo kwani kazi?yani inaboa big time unasimamishwa kama jambazi-jambazi ivi wakuzunguke weeee unabaki unasonya tu,wajitambulishe na wawepo na traffic/polisi basi ili tuamini...nchi hii ina majambazi wakutosha tu.

swali la kueleweshwa: ivi RPC anapotoka nyumbani asubuhi kwenda ofisini na gari lake lile LAZIMA APISHWE BARABARANI AU KUINGIA LANE ISIYO YAKE???
 
Back
Top Bottom