ukomavu wa wabunge wetu bunge lijalo utafahamika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukomavu wa wabunge wetu bunge lijalo utafahamika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kwamtoro, Oct 3, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Wafanya kazi wa Tanzania hasa wa sekta binafsi, kwa namna moja au nyingine matumaini yao makubwa yapo katika bunge lijalo. Kuona ni kwa jinsi gani sheria kandamizi ya mafao ya kujitoa itakavyo shughulikiwa. Je kutakuwa na danadana yeyote. Je serikali itaziachia pesa ambazo kimsingi wanazipenda. Je bunge litakubali kuwa dhahifu na kurusu nchi kuingia katika machafuko.
   
 2. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Thubutu, sheria ya kupata mafao kabla ya miaka 55 ikirudi, nitajisaidia aja kubwa posta mpya
   
Loading...