Raisi ajae 2015

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Raisi ajae 2015 ni mwenye sifa zifuzo. kwanza nilazima awe muadilifu.2 Mzalendo.3 Mpenda haki.4 Anaesimamia misimamo yake.5 Mwenye busara. kwa kutumia sifa hizo tano au vigezo hivyo unahisi nani anaweza kuwa mrithi wa JK?
 
Dr Wilbroad Peter Slaa ndio mtanzania pekee.Dr slaa ni Decision maker sio dhaifu.

Dr slaa ni SMART

S=specific
M=measurable
A=accurate
R=realistic
T=timel
 
Raisi ajae 2015 ni mwenye sifa zifuzo. kwanza nilazima awe muadilifu.2 Mzalendo.3 Mpenda haki.4 Anaesimamia misimamo yake.5 Mwenye busara. kwa kutumia sifa hizo tano au vigezo hivyo unahisi nani anaweza kuwa mrithi wa JK?
Wewe unapungukiwa sifa zipi katika hizo 5? Kama unazo zote kwa nini tusifikirie kwamba unaweza kumrithi jk?
 
Umenifanya nikumbukie tukio moja nililokutana nalo jana kutoka kwa Wazee fulani hapa KGM.
Nilikuwa napita zangu nikakutana na kundi la wazee wa Chama tawala wakijadili masuala ya siasa wakaniita kutaka maoni yangu.Mmoja akaniuliza maana ya Siasa za vyama vingi ni nini na ni kwa nini watu wengi wanalalamikia ufisadi?.
Kabla sijaongea lolote mmoja wao alieleza kuwa katika siasa za mfumo wa vyama vingi Ufisadi ni jambo la kawaida.
Haraka haraka akili yangu ilinituma kugundua kuwa Wazee wale watakuwa kabla ya hapo wameitwa sehemu na Mpambe wa Kiongozi fulani ambaye jina lake limechafuliwa na ufisadi hivyo lekuanzisha propaganda za aina hiyo Kwa Wazee kama wale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom