Watanzania wa USA wanaongoza kwa ku collect food stamp,unemployment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wa USA wanaongoza kwa ku collect food stamp,unemployment

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Natalia, Aug 30, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Obama nation
   
 2. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,126
  Likes Received: 23,736
  Trophy Points: 280
  Hilo gazeti lipo wapi, kama ni kweli basi Wasomali wote wanaoishi USA wanahesabika kama Watanzania!.
   
 3. N

  Natalia JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wametoa list ya nchi after Mexico tanzania.romney campaigh
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kujua watu wenye matatizo binafsi ndio katika jambo hili. Ninavyofahamu mimi moja ya nchi za kiafrika ambayo ina idadi ndogo ni Tanzania. Nchi kama Somalia, Sudan Kusini, Misri, Rwanda na Burundi, Kenya, Uganda na nyinginezo zina wakazi wengi sana, na pengine nchi zinazoingiza wakimbizi ndizo zinazotegemea ridhaa ya humanity toka serikalini.

  Kwa ufahamu wangu, watanzania ni watu watafutaji sana wa kutaka kupata mitaji ya kuendeshea maisha nyumbani Tanzania tofauti na mataifa kama ya wasomali na wamisri ambao uwepo wao huko wanajisikia kama wako peponi ukilinganisha na matatizo mengi ambayo wameyapata katika nchi zao husuan vita.

  Naweza kusema mleta mada ana tatizo lake binafsi au anataka kutumia mada hii kuibua kitu kingine, lakini kuhusu humanity toka federal sikubaliani naye, ameidanganya JF.

  Wengi wanaosema vibaya kuhusu wanaoishi Marekani ni wali walioingia nchi hiyo kwa shule, hivyo upatikanaji wa kazi huwawia mgumu na kuishia UPS au FEDEX.

  Hata hivyo wengi waliofanya vizuri katika masomo yao serikali ya Marekani imewapigia magoti na kuwapa ajira mbalimbali katika taasisi mbalimbali za serikali kwa mikataba na wale walio na hati za makazi upatikanaji wa kazi si tatizo, mwenyewe nilikuwa nafanya kazi gazeti la serikali wakati niko mwanafunzi.
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Natalia unaongoza kwa kupost mada kwa siku
  sidhani kama zingine una uhakika nazo
  uwe na evidence katika mada zako la sivo tutakuneglect kuchangia
   
 6. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Huyu kiumbe nimegongana naye sehemu mbalimbali leo,ngoja nipite.But ktk wachangiaji 50 wa thred yake 1 anamuunga mkono.
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hilo gazeti liko wapi?
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ni rahisi sana kupata pasi za kusafiria za Tanzania hivyo inawezekana wasomali karibuni wengi walioko marekani wana pasi za bongo!! Kama ni hivyo ndio maana inaonekana wabongo wengi wanategemea food stamps!! Yule msomali wa paradise hotel Bagamoyo, alifanya urafiki na viongozi wetu wakuu wa serikali na akatumia urafiki ule kufanya mabo mengi kuwasaidia wasomali wenzie mpaka pale alipoikimbia nchi na kuwaacha viongozi wetu wakikenua meno tu!!
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Liko kwenye ndani ya chupa ya maji labda
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. r

  radica Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe shida yako nini? tukupeleke na wewe ukale bure? Au zimesha kusaidia sasa ndo unataka kujifanya mujanja. kwa vyovyote vile hata wewe ni mmojawapo. SO? SHUT UP! ACHA WAJANJA WAFAIDI MEMA YA NCHI, KWANI WEE HUJUI? WATU WANAPATA FOOD STAMP NA WANA MAGOROFA NA WAFANYA KAZI HUKU TZ, NA WAMEKUAJIRI WEWE NA NDUGU ZAKO. SO? HAO NI WAJANJA, HEBU JARIBU WEE KAMA UTAPATA HATA, KAMA UNAZANI NI RAHISI HIVO. WATU WANARUDISHa mali home bana. kauka!
   
 12. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 80
  wewe mama una matatizo gani? kila uchao wewe ni kujisifia kwa utajiri na kuwaponda wenzako. nadhani huyo bwana wako wa kizungu toka akuchukue basi unajiona boonge la mjanja.
   
 13. N

  Natalia JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wewe mtoto wa katibu mukuu chezea
   
 14. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,068
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  huyu natalia is she Le mutuz in disguised!!!
   
 15. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hata kama ni vibaka wewe inakuhusu nini?
  Mijitu mingine iko hovyo sana. Watanzania wapewe food stamps kwa qualifications zipi? We are not fugees, we're hustlaz and you .... a hata 4life!
   
Loading...