Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Closed
Nimetafakari sana, nikaona nilete mada hii hapa jukwaani. Kwa kuwa vurugu za kuchoma makanisa na kuharibu mali zilinzia Tunduru tena bila hata ya kisababishi, kisha ikatengenezwa sababu kule...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nimekaa nimefuarioia kwa umakini fujo zinazoendelea Zanzibar. Ikiwa mimi kama mzanzibari nimesikitishwa na vitendo wanavofanya wazanzibari wenzangu. Mambo mengine lazima tukae tufikiri vyema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siwaelewi hawa polisi wanapoingia ktkt ya barabara na kuanza kuongoza magari wakati taa nazo bado zinawaka. Kuna siku nilikuja speed nawahi taa za kijani lkn nilipokaribia kuvuka ndipo nikamuona...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM wamekisusia kikao cha baraza la wawakilishi kutokana na fujo zilinazoelezwa chanzo chake ni kupotea kwa kupotea au kutekwa nyara kwa kiongozi mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kanisa jingine limechomwa moto uko yombo sasa ivi source Waporadio Mungu azidi kunipa moyo wa chuma
2 Reactions
294 Replies
24K Views
Mods Tafadhali msihamishe huu ujumbe ingawa inaweza kuwa si mahala pake. Hii msg nimeipata mahala nikaona niilete hapa jf kwa great thinkers kwani ina ujumbe mzuri: 'Tupinge Vurugu Za Kidini...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
  • Closed
Kuna tetesi kua kuna kanisa limengua moto huko TUNDUMA mwenye taarifa zaid aendelee ku2juza nawasilisha
0 Reactions
24 Replies
3K Views
video http://youtu.be/dzcAbCmmqxs
1 Reactions
2 Replies
2K Views
nimekuwa nikipokea text kupitia line yangu ya tigo, mtu akinitaka kufanya nao kazi eti nawezapata kipato cha ziada kwa kufanya nao kazi, kisha hutaja jina langu halisi na wanasema wapo sinza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
poleni na majukumu wakuu.samahani naombeni kujua gharama za kutoka Tanzania kwenda nigeria kwa ndege inaweza gharimu kiasi gani kwa mtu mmoja.?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naona inakuwa mazowea ya kutoa kila mtu kujiona alifikirialo ni sahihi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo kifupi chake ni CHADEMA, hii ipo kwenye katiba yao sasa pana WATAALAMU uchwala wanaotoa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
Swali: UAMSHO BARAZA KUU BAKWATA SHURA YA MAIMAMU TAMPRO what do they all have in common?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
kama nilivyoandika kwenye kichwa cha habari, nimepokea sms kwenye simu yangu ikielezea kuwa kuna watu wasiofahamika wamefika katika kanisa la yombo kkkt na kumjeruh mlinzi wa kanisa hadi...
0 Reactions
124 Replies
11K Views
Habari wana jukwaa.Napenda kuwataaarifu na kuwakumbusha gazeti letu pendwa lililopotea kwamuda kuwa hivi sasa limeludi mtaani kwa nguvu kubwa ,tukiwa kama wapenda ukweli na mapinduzi halisi,basi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa habari nilizonazo, ni kwamba kuna kundi la watu wanasemekana ni waislamu wenye msimamo mkali wamepiga kambi maeneo ya Chuo kikuu huko Changanyikeni kwa ajili ya kufanya matukio kama yale ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeshindwa kuconnect dots kitendo cha 'nabii na mtume' Mwingira na shamba lake kuchomwa moto kule Sumbawanga. Aliwahi kujitokeza na kujustify kitendo chake cha kununua shamba kutoka PSRC, lkn...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana tulionyeshwa Picha ya Mwanamke aliyekuwa na Marehemu aliyekuwa Mkuu wa polisi Mwanza Kamanda Barow Kumbe siyo ni usanii tupu huyo mama siye huyo mama ni Mmarekani soma habari zake hapa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Katika harakati zangu za hapa na pale leo nimepita maeneo kadhaa yakiwemo ya vijiweni. na katika story za hapa na pale nkaambiwa kesho tutakuwa mnaz mmoja ili wenzetu watolewe. ki2 kingne katika...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
A New Afghan Evil: Drug Addiction By Aryn Baker/Kabul Read more: A New Afghan Evil: Drug Addiction - TIME As source of 92% of the world's heroin, Afghanistan's opium farmers are easily...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…