Kuna Mchungaji ametoa Kauli kuwa Chanzo cha Kuchoma Makanisa ni CCM ambayo iliingiza kinyume cha Sheria kipengele cha Mahakama ya Kadhi ili wapate Madarak amwaka 2005. Amesema mtu wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekutana na waandisihi wa habari makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam leo, ambapo wajumbe wa Kamati Kuu, Profesa Abdallah Safari na Mabere...
Katika uchaguzi wa uwt ccm imeonekana rushwa kutia fora, na vyombo vya habari vimejitahidi sana kuripoti huku gazeti la Nipashe la jana limelipoti vizuri na kwa undani, lakini takukuru wako kimya...
Nimeanza na swali nikiwa sielewi maana halisi ya Umoja Wa wanawake Tanzania hasa ukuzingatia muda tulio nao kwa sasa tupo kwenye vyama vingi lakini cha kushangaza mama zetu ukiangalia siku ya...
Taarifa iliyotolewa kwenye website ya TMF(Tanzania Media Fund) hivi punde ni kuwa sasa mchakato wa kuomba ruzuku ili kufanya habari za uchunguzi umenza rasmi.
tuchamke waandishi,ili tufanye kazi...
Baraza la mazingira Tanzania (NEMC) lipo likizo. Wadau wa Mazingira Morogoro hawapo tayari kuingilia kati mambo haya. Maji Morogoro hayapatikani kwa muda mrefu kwa uharibifu wa mazingira...
Wadau,
Kuna hili tangazo la 'tuko wangapi' ambalo linarushwa kwenye vituo vya Radio na Tv sasa. Nataka kulizungumzia hili ambalo linarushwa kwenye Tv. Kwa kweli kwa maadili ninaona si sawa kwa...
habari,juzi nimeongea na ndugu yngu alyepo oman, amesema kuwa rais jk alvyokuwa huko mfame wa huko ktka kuonyesha kuwa anamkubali sna rais wetu,alimpeleka kulala katika moja ya mahekalu yake...
mkurugenzi mtendaji wa halimashauri ya wilaya ya Bukombe/mbogwe mkoani Geita amewaonya Watumishi wapya waloajiliwa mwaka 2012 wilayani humo kuwa wanachama wa mfuko wa LAPF la sivyo watakiwa...
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba...
Kitendo cha Waziri wa Elimu, Phillipo Augostino Mulugo kuaibisha Nchi yetu mbele ya alaiki ya wageni south Afrika si cha kufumbia macho, nilazima awajibishwe.
Waziri huyo wa Elimu alisema...
Wana jamii forum,za sahiz,polen na kaz.nlikuwa na swali kwa wanaofahamu chuo cha uuguzi cha red cros cha mbez beach kunduch naomba anpe details zake ntafikaje hapo.npo ubungo.
Matukio ya mjini yameteka uTanzania wetu tuishio vijijini, mara Ponda,mara Fareed, mara Ulimboka, mara JWTZ k/koo, mara soja kampiga polisii Ubungo mataa... yaan nchi inaendeshwa na matukio...
Nimekaa na kutafakari matukio ya hivi karibuni yaliyofumuka hapa Dar na kule Zanzibar kwa kisingizio cha mtoto kukojolea quran tukufu. Makosa kama haya ni nadra sana kujitokeza hapa nchini...
Wadau nafanya maandalizi ya kuandika tittle ya research na ningependa iwe inahusu siasa,nawakaribisha kwa roho safi ambae anaweza kuja na titlle ambayo itakua relevant na mazingira ya siasa za...
mbunge huko sumbawanga amehamasiha watu kuchoma moto KANISA,GHALA LA MAHINDI,NYUMBA NA MATREKTA chanzo ITV wenye taarifa kamili tunaomba mtujuze hapa jf.
KUMETOKEA TUKIO LA UJAMBAZI JIONI HII MAENEO YA TABATA MATUMBI BARABARA YA MANDELA AMBAPO MAJAMBAZI WANAOKADIRIWA KUWA WATATU WALIVAMIA GARI MOJA AINA YA PRAO KWA NIA YA KUJICHUKULIA FEDHA...