Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu watanzania najuwa nikiasi gan mambo yametufika shingoni na kwakwel kufika 2015 ni kama tunaona msamiati vile taifa limeyumba, ajira hakuna, huduma za serikal mbaya, vijembe kila mahali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kusema watanzania tusipate maumivu kwa yale yanafanyika ktk serikali hii, ila tambue kama Mungu alivyo achia J. K akawa rais pamoja na mapungufu yake ndivyo Mungu atakwenda kutupa kiongoz...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama Mtume alitumwa na Mungu na wote tunajua Mungu ana nguvu kwa sababu dunia na vyote viijazavyo ni mali yake kwa nini tuwapiganie Mitume waliotumwa na huyo Mungu? mimi nikiwa kama mkristo na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
<font color="#000000"><span style="font-family: Lucida Grande"><strong> Nimelazimia kuiangalia vizuri cv yake kama kweli alimaanisha. MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Naomba traffic wafanye mpango wa kudhibiti mwendo wa bodaboda mijini angalau hata 20speed. Na wawe wanatozwa fidia wakizidisha speed.
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Habari za leo Wana JF? Binafsi si mpenzi wa kuandika nyaraka lakini nimejikuta nalazimika kuandika waraka huu kwa uchungu mkubwa kutokana na mambo ambayo nimeyasikia na kuyashuhudia kupitia...
8 Reactions
91 Replies
11K Views
Hello..! Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu natanguliza shukurani kwenu,naomba kujua hii tasisi wakala wa vipimo Tanzania.Inaitwaje kwa kiingereza , au ndo wale wa TANROAD na TBS? Msaada tafadhali wana jf
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nna swali nataka kujua Wadau, eti hivi kampuni ya scandinavia ya usafishaj abiria mikoani inatoa huduma bado?mana siisikii sasa.
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Juzi wakati anafunga rasmi suala la uchaguzi wa CCM kwa wanawake raisi wa tanzania alitamka kukerwa na ununuaji wa kura ama waweza ita rushwa iliyogubika mwenendo mzima wa uchaguzi huo,kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
siku ya Tarehe 10th October nilichangia mada ya hapo chini yenye wino mwekundu majuzi hapa tumeshuhudia machafuko na mauwaji pande zote mbilki za Mungano sasa kwa wale watu ambao bado ni (naive)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidieni wakuu hivi mshawahi ona hizi bidhaa zikisafirishawa? kama vile bia,soda,fedha na vitu vingine hua vinasafirishwa aidha kwa magari au njia nyingine yoyote lakini sijawahi kuona gari la...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Asalam Aleikum! Nimetokea kuwakumbuka waheshimiwa tajwa hapo juu kwa vituko walivyofanya muda mfupi waliopewa mamlaka, daah baada ya kumwagwa sasa hivi kimyaaa au ndo mnajipanga 2015 MTOKEJE? Fa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nenda hapa utazame mwenyewe uone Binadamu kugeuka Pipa Kutana na Mtu Mwenye Uwezo Wa Kunywa Maji Lita Saba Na Kuyahifadhi Kwa Mda Mrefu kisha baadae Kuyatapika na Kuyanawa - TEEN TZ
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani jamani nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
BREAKING NEWS: Mwanajeshi wa Kikosi cha Anga Kapteni E.E Magushi amefariki baada yandege aliyokuwa akijifunzia kushindwa kuruka. Source: Eatv/twitter
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nenda hapa utazame mwenyewe KUTANA NA KIPOFU AMBAYE NI FUNDI VITANDA part 1 & 2 - TEEN TZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nenda hapa utazame mwenyewe MWANA DSM AKUTANA NA MTU MWENYE UWEZO WA KUKALIA MSUMARI PART 1 & PART 2 - TEEN TZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mujibu wa taarifa ya habari redio crowds saa 12 jioni, kuna maneno yaliyosemwa bila shaka na mkurugenzi wa TPI, ya kwamba hapa tanzania hatuna kiwanda kinachotengeneza ARV. Swali je wakina...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliyesikiliza jicho la ngombe leo atajua Gerald Hando sio Kibonde. ''Ni kweli ccm imefikia sehemu ya kushindwa kumshawishi mtu bila Hongo'' ''Hivi ni kweli CCM- ndio Chukua Chako Mapema" Hii...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…