Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya baadhi ya Waislamu yaliyotangazwa kufanyika Novemba mosi na mbili mwaka huu ya kushinikiza kutolewa rumande kwa Katibu wa...
3 Reactions
336 Replies
29K Views
Nimesikia ktk vyombo vya habari kuwa rais anachukizwa na umasikini wa watanzania,pia rais anachukizwa na rushwa,tena anachukizwa na mafisadi ktk halmashauli mbalimbali,wizara hata mashirika ya...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Taarifa kutoka Nigeria zinaeleza kuwa kituo cha polisi kimeshambuliwa pamoja na shule ya msingi na milingoti minne ya simu, katika mji wa Fika, kaskazini-mashariki mwa nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemsikia Lipumba ITV naona kageuka Wakili wa Ponda. Hata juhudi za Kamanda Kova kuweka Amani Dar kaziponda
0 Reactions
7 Replies
1K Views
katika taarifa ya habari tbc saa mbili leo usiku, kumekuwepo taarifa inayohusu malalamiko ya akina mama wanaofanya kazi katika kiwanda cha kukausha mabondo ya samaki sangara, kuhitajiwa kufanyiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi Jamani tusisahau ile kesi chadema walimfungulia Nape adhibitishe nchi chadema wanapata mabilioni au misaada kwa kuhonga rasilimali zetu iliyofunguliwa na chama. Naomba chadema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
04/11/2012 Newlyweds Jessica Biel and Justin Timberlake can be seen getting on a private plane at the Kilimanjaro International airport in Tanzania on October 21, 2012. Credit...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvi tunakumbuka kesi chadema walimfungulia Nape adhibitishe nchi chadema inapata misaada kwa kuwahonga rasilimali. Naomba chadema na hata watu wa mahakama watuambie kulikoni mbona kimya...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Wanajamvi Niliwaomba ushauri naenda kupanda treni wengi wakanishangaa wengi wakacheka huko walipo hawakutuandikia vicheko. Nawashukuru walionishauri niliufanyia kazi nikatoka msasani hadi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Miradi ya mashamba ya Chai Luponde - Ludewa, Mkoa mpya wa Njombe Picha kwa hisani ya Mjegwa Blog
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Kwanza Katika Jiji la arusha uchafu umekithiri, hakuna DUST BINS ELimu ya usafi itolewe kwa wingi Barabara za kuunganisha ni finyu, mfano ukitokea Njiro, ukiingia barabara ya Old Moshi mpaka...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Songea kuna matatizo ya upatikanaji wa dizel na petrol kwa siku tatu mfululizo sasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kuna mwandishi wa habari anayeripoti habari za mazingira zaidi ya VEDASTO MSUNGU? Kutokana na unyeti wa suala la mazingira nafikiri anapaswa kupewa motisha fulani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
National Malawian man arrested for pressing penis against student’s buttocks on bank queue By Nyasa Times Reporter November...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama viongozi mbali mbali katika idara mbali mbali wangekuwa na dhamira ya kweli kuongeza ufanisi na kupunguza rushwa kwa nini wasingetoa namba zao za simu ili mtu anayehitaji huduma akizungushwa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Sijui hii imekaaje, unapiga simu, unapokelewa na tangazo lao la XTREME kama dk moja na nusu then ndo unaambiwa simu haipatikani, iko busy au haipatikani, mi naona ni kero na kupotezeana muda...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Kumchagua Abdalla Bulembo kuwa mwenyekiti wa wazazi kunaonyesha kweli CCM vimeo. Jamaa alikosa sifa za kuiongoza Villa Squad kwa kuwa hana elimu ya form 4 hivyo kamati ya Tff ikampiga chini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau hivi ni kweli kwamba TANESCO wamechange charging system yao, kwani baada ya ku-istall system mpya yao wakati ule tunaambiwa (ilikuwa september mwaka huu) kwamba lazima ununue umeme kwanza...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Waandishi wa Habri Walio andika ukweli dhidi ya Banda akiwa Upinzani wameanza kushughulikiwa!! National MBC TV cameraman Chauluka who insulted JB gets demotion...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ambaye pia ni mgombea wa maisha wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho cha makabwela leo ameamua kuwa muwazi na kuweka wazi itikadi...
2 Reactions
90 Replies
8K Views
Back
Top Bottom