Filikunjombe, Ludewa kuzuri hivyo jamani!

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
246641_4205934539398_900442605_n.jpg
f3.jpg


Miradi ya mashamba ya Chai Luponde - Ludewa, Mkoa mpya wa Njombe

Picha kwa hisani ya Mjegwa Blog
 
Baadhi-ya-ardhi-ya-Wilaya-ya-Ludewa1.jpg
f8.jpg


Ludewa inavyoonekana si sehemu ya nchi ya kufikirika, bali ya kufikika na ardhi nzuri yenye rutuba inayotokana na hali ya nchi ya malima na mabode ndani ya Mapangano ya Milima ya Livingstone kando ya Ziwa Nyasa.
 
Huyu angeitwa Filikuludewa badala ya Filikunjombe. Bongo ni nzuri tatizo ni ufisi na ufisadi. Pia ukondoo wa watu wetu nao unaifanya iwe jehanamu.
 
Vyama vya siasa vimepenya hadi Ludewa, ishara ya kuwa kote kote nchini
a6.jpg
hata kiitikadi.
 
c1.jpg


Huko Ludewa kwenye utajiri wa madini, ubunifu wa mtoto huyu ukiendelezwa na kuwezeshwa unaweza kumfikisha mbali hata kuifikisha mbali kiuchumi na kimaendeleo nchi yetu.
 
d1.jpg


Mbele ya mkutano wa kukusanya maoni ya Katiba mpya mtoto huyu anaonekana amebaba mtoto anayeonekana kumzidi uwezo wa kuhimili, katiba mpya itatoa nafasi gani katika haki za watoto katika mazingira ya maisha kama haya ambayo ni mapokea kwa watoto wajibu wa kuwatunza wadogo zao, watoto wadogo kama hawa badala ya kwenda shule wamekuwa babysitters wa wadogo zao ili wazazi wahangaikie maisha.
 
Rudewa.jpg
images
images
images
images
images


Hii si miamba ya mawe ya kawaida, bali ni miamba ya madini yaliyo nje nje tu ambako inaelezewa wakazi wengi wa nyanda za juu kusini walikuwa wanaenda maeneo haya kuchukua haya madini ya chuma na kuyayeyusha ili kufua mikuki, majembe, nyengo za kufyekea na matumizi mengine kwenye viwanda vyao vidogo vidogo vya mapokea ya kiasili.
 
3257888497_a4aee644b7.jpg
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images


Mandhali ya nchi wilaya ya Ludewa katika mkoa mpya wa Njombe, picha from special file.
 
Madunda neno lenye maana ya milima eneo ambalo liliasisiwa na wamisionari wabenediction ambao mwanzilishi wa kanisa katoliki alitoka nchini Uswiss nimeambiwa alivutiwa sana na madhari ya milima ile kama ya huko kwao Nchi ya uswis na akaifanya uswiss ya Ludewa. Hapo kilikuwa kitovu kikubwa cha kupata elimu iliyoanzia lower primary school, middle School na upper primary school kando ya mpangano ya milima ya Livingstone.

images
images
images
images
images
images
images
 
Mazao mbalimbali yanazalishwa huko ikiwa ni pamoja na mazao ya Chai, Kahawa na Pareto, uvuvi ndiyo ya biashara. Mazao mengine ya biashara ambayo ni chakula kwa wakazi ni karibu yote yanayopatikana nchini Tanzania yanapatikana katika wilaya hiyo kutegemeana na eneo unaloishi.

images
images
images
images
images
images
 
Huyu angeitwa Filikuludewa badala ya Filikunjombe. Bongo ni nzuri tatizo ni ufisi na ufisadi. Pia ukondoo wa watu wetu nao unaifanya iwe jehanamu.

Nimeamua kufanya special study ya huko Ludewa, kwani utajiri wa maliasili uliopo huko unanishangaza kuacha wananchi maskini huku mawe ya chuma wakiyatumia kuwa mafiga ya kuinjia vyungu majikoni. Jamani Mungu akupe nini kama si utajiri wa mali asili?
 
Nimeamua kufanya special study ya huko Ludewa, kwani utajiri wa maliasili uliopo huko unanishangaza kuacha wananchi maskini huku mawe ya chuma wakiyatumia kuwa mafiga ya kuinjia vyungu majikoni. Jamani Mungu akupe nini kama si utajiri wa mali asili?

Kichekesho zaidi, rafiki yangu mmoja aliniambia wengi hawajui tofauti ya mawe ya kawaida, mawe ya chuma na makaa ya mawe, imekuwa ni kawaida ya kuwa waangalifu katika kuchagua mawe ya kunjikia vyungu majikni kwa sababu"
Mawe ya madini ya chuma yamekuwa yakishika moto na kuwa moto kabisa kama moto ukikolea
Mawe ya makaa ya moto yamekuwa yanawaka na yanaposhika moto

Hali hiyo iliwapa wakati mgumu na kuwa waangalifu wa kuangalia ni mawe gani yanafaa kufanywa mafiga. Wale black smith ndio walioweza kuwasaidia kujua yapi ni ya chuma na yapi ni ya miamba ya kawaida, ila walichoshindwa kupambanua ni makaa ya mawe kwa vile kilikuwa kitu kigeni kwao kuna mawe yakiwaka moto na wakafirkia ni mawe laini.
 
tuwaite wachina na wakenya waje watusaidie wao wanapenda kuwa matajiri sisi tunapenda kuwa maskini,wenye nchi hawaitumii vizuri,kila mtu anasubiria misaada,viongozi wanasubiria misaada, wananchi wanasubiria misaada, hovyoo kabisa,wasomi badala ya kuanzisha makampuni wao wanashindana kuanzisha NGOs.
 
Kwenye miti hakuna wajenzi nchi nzuri tamu kama hii hali ya hewa bomba kuliko Ulaya ardhi yenye rutuba watu tunauana na mfinyanzi wa wazo kwa kupenda kuambiwa mambo yote Dar. Tujenge nchi hasa maeneo kama hayo miji yenye mvuto na kilimo bora hali ya hewa nzuri tuache kubanana mijini.
 
Huyu angeitwa Filikuludewa badala ya Filikunjombe. Bongo ni nzuri tatizo ni ufisi na ufisadi. Pia ukondoo wa watu wetu nao unaifanya iwe jehanamu.

Enzi hizo watu wengi wa Njombe na mikoa mingine ya kusini walikuwa wanaenda Tanga kufanya kazi kwenye mashamba ya mikonge, inasemekana babu yake Mh. naye alienda huko lakini hakurudi na chochote baada ya kufanyakazi muda mrefu huko na alipokuwa akiulizwa mali/vitu ulivyokuja navyo viko wapi? Inasemekana alikuwa akiwajibu "FILIKUNJOMBE" akimaanisha viko Njombe.
 
Nimeona picha ya ziwa hapo juu. Hilo ni ziwa gani? Au ni lile ambalo tumeazimwa tulitumie kwa muda na mama Banda!
 
Back
Top Bottom