Kifaranga
Senior Member
- Jan 6, 2011
- 144
- 31
Wadau hivi ni kweli kwamba TANESCO wamechange charging system yao, kwani baada ya ku-istall system mpya yao wakati ule tunaambiwa (ilikuwa september mwaka huu) kwamba lazima ununue umeme kwanza kwenye vituo vya TANESCO then ndo baadaye uendelee kununua kwa M-PESA, TIGO N.K. Lakin baada ya kufanya hivyo naona kama spidi ya matumizi ya umeme imeongezeka ghafla. mfano kwa siku nilikuwa natumia 3 Kilowatts lakin sasa hivi natumia 4 Kilowatts mpaka 5 Kilowatts.
Je ni kawaida hii au kuna kitu sielewi hapo???
Je ni kawaida hii au kuna kitu sielewi hapo???