Lipumba lazima atafute pa kugusia ili kidogo aonekane kwenye tv coz ni cku nyingi tangu afunge ndoa yake na ccm ameshindwa kuwika kisiasa hata zanzibar hawakubaliki tena cuf wamebakia kuwa makanjanja wa kisiasa,,hivyo anaona akishikilia bango la sheikh ponda labda ataanza kufufuka kisiasa hivyo usimshangae huyu mzee maji yako shingoni.
Wanaoingilia uhuru wa mahakama wako wengi mkuu,jana mchungaji Lusekelo alidai endapo Ponda atashinda kesi basi yeye atafunga siku tisa then Ponda afe! Na Pia amemwambia Kova akamate waarifu yeye kama nani hapa Tz, na ukizingatia hao wanaoitwa waharifu walishakamatwa, kwa Hiyo kuhusu waropokaji wako WENGU tuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.