Ni mhimu kujulishana kuhusu fursa hizi za kununua hisa kwenye taasisi hizi za kijamii ili kila mtanzania ajihisi anahusika moja kwa moja na uanzishwaji pia umiliki Wa tasisi Kama hizi za kibenki...
Treni iliyoanza kazi jumatatu tayari imeua mtu mmoja.
Taarifa za kuaminika ni kwamba mtu huyo alikua karibu sana na reli na alikua anajaribu kuichungulia kadiri ilivokua inapita, aligongwa na...
BARAZA la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (PCT) limeomba radhi kwa kitendo cha kukojolewa Kitabu Kitukufu cha Korani.
Pia limeiomba Serikali kushirikisha mabaraza yote ya kidini...
Habari zenu wanajf,
Nimesikitishwa sana na mods kuitoa thread jadid ya ndugu Mohamed Said bila sababu ya msingi. Nasema bila sababu ya msingi kwakuwa hoja zilizoletwa mbele yetu tuzijadili...
Nimesikitishwa na ubabe wa serikali ya CCM wa kuendelea kufanya maamuzi yanayofanya maisha ya watanzania kuzidi kuwa magumu.
Wanafunzi waliomaliza kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma waliingia mkataba...
Nimesikitishwa na Kukasirishwa sana na kiwanda cha wachina Mwanza kuwakagua sehemu za siri akinamama eti kuona kama hawjficha chochote.Mbaya zaidi wanaingiza matambara habari hii imenitoa...
Habari Wakuu, nilipambana na hii jana na nikaona ni vema ku-share na wenzangu.
Jana nilikutana na bwana mmoja (Jina limehifadhiwa) akiwa na binti ambaye hana kiganja cha mkono wa kushoto na mkono...
Jana nilisikia kwamba kuna mchawi mmoja huko kasulu.,mkoan kigoma ya kuwa kuna mchawi mmoja alienda makabulin alipofika akafanya yake mara ghafla maiti ikamganda...,ebu mtujuze.!
Kuna uzi uliletwa na mdau m1 kutoka Bukoba akieleza kuwa alipata gazeti la mwanaspoti la siku ya jumamosi alfajiri tofauti na kawaida kupata gazeti mida mibovu. Akajaribu kujiuliza mwananchi comm...
Serikali ilisema imemsimamisha mchimba ugongo maeneo ya MTEKE wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Ila huyu jamaa bado tu anazidi kuchimba na kusafirisha na kupeleka Mombasa ambapo ndo unachujwa...
Pele aliyepata kuwa mwanasoka mweusi mashuhuri ulimwenguni yupo sasa nchini. Ni fursa hiyo kwa Tanzania Tourism Board kumchangamkia na kupata naye mkataba wa kutangaza vivutio vyetu.
Matangazo ya...
Wana JF kuna Mnyarwanda aitwae Safari Vianney tajiri wa mifugo aliyenunua mashamba Wilaya kijiji cha Lukole na kuweka uzio kuzuia mtu yeyote kuchungia maeneo hayo. Kutoka na agizo la wazri wa...
Wadau, nimekutana na picha hii ya mtu anayefanana sana na Baba wa Taifa. Wapo wanaosema ni yeye, lakini wengine wanasema ni mdogo wake. Mwenye kumjua atusaidie.
Wana jamvi naomba kuleta hoja hapa ili mwisho wa siku niwaelewe hawa watu nijue jinsi ya kushughulika nao
Julai mwaka jana nilimtuma mwenzangu kulipia kodi ya nyumba miezi sita, akafatiliwa na...
Mwanamuziki wa kike Rehema Chalamila maarufu kama Ray C kwasasa anaishi maisha magumu baada ya kuathiriwa na kinachosemekana kuwa ni matumizi ya madawa ya kulevya kwa muda mrefu.
Mwanadada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.