Mm najiuliza sis watu visiwani kwa maana ya zanzibar , tumejikwaa wapi?, nasema hivi kwa maana ya kwamba ,eti nasikia zanzibar ilikua juu kiuchumi ,ama nimaneno tu
Aliandika makala aliyoipa kichwa cha habari "Safari za JK Nje ya Nchi" 2 June 2009?
Embu isome unisaidie nisichokijua maanake hata jinsi ya kuuliza sijui
Profesa Joseph L. Mbele
Leo...
JUMAMOSI, NOVEMBA 03, 2012 08:15 NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
*Waandamana baada ya Sala ya Ijumaa
*JWTZ, polisi wajitosa kukabiliana nao
JANA mitaa ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam...
Uchaguzi kwenye mitaa Tisa ya mamlaka ya mji mdogo Usa-River unafanyika leo. Kamanda Nassari jana alifanya mikutano mitano za kuhitimisha kampeni.
Akina mama kwenye mkutano wa chadema mji...
Leo ukiingia social media karibu zoote utaona mara ooh Halloween hiv Halloween vile cjui nini nini, co mbaya lakini Vijana wa cku hzi kuiga sana na being Fake mezidi au ndio tujue DSTv yenu ina...
Wakuu,
Naomba nilisema hili na tusaidiane.
Kuna mabasi yanaitwa Green Star ambayo yanafanya safari zake kila siku kati ya Dar-Mz lakini yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa abiria wake.
Haya...
Huduma ya m-pesa kununua luku kama ingekuwa ni amri yangu ningefunga hiyo huduma unalipia Luku kwa M-pesa inachukua saa zaidi ya 4 kupata tokens za kuweka kwenye Mita sijaona umuhimu wake zaidi ya...
hii nimeiona habari za michezo tbc, watoto wa kike waliovalia mavazi ya hijab wakifunzwa mbinu za kupiga kwa mtindo wa 'kung fu'
Je malengo ni ya kuwapa uwezo wa kujilinda kibinafsi au kuna...
Hello bandugu!!
Nimepita facebook page ya TMA leo na nimekutana na taarifa ya uwezekano wa ongezeko la mvua katika baadhi ya mikoa katika siku mbili zijazo kuanzia kesho 01/11/2012. Kwa maelezo...
Wakuu hali ya hewa inasomeka kitahadhari zaidi.
Kuna tishio la ongezeko la mvua muda mchache ujao.... soma taarifa ya Hali ya Hewa hapo chini
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZI...
kama umewahi kuona kupitia ITV au kwa anayejua ile ishu ya yule mama aliyevimba mguu na anahitaji msaada kupitia ITV,kwa kweli ile habari ilinigusa sana na natamani sana nichangie,lakini sina...
waasisi wa taifa letu ,walipata changamoto kubwa baada yauhuru,kwani baada ya uhuru watu waliweka vitendea kazi chini na kufurahia matunda ya uhuru, kazi sehemu mbalimbalim zikasimama ,maana watu...
wadau amani iwe nanyi, tanzania inacho takiwa kufanya ili ijikwamue katika kuwa nyuma ki uchumi na tekinolojia ni kuwa na uelekeo na kufahamu taifa lina enda wapi, kwa kufahamu hilo hata hoja na...
Juzi nlkw nahitaji fedha nkapita ATM nkataka kutoa 40000 nkafanya process zote lkn ikagoma pesa haikutoka. Ikabidi nichukue 50000 pesa ikatoka nkasepa zangu. Leo nazama ktk ATM kuchukua mzigo...
sioni logic ya mtu akitaka kurenew line atoe kopy kitambulisho hapo kwenu kwa bei ya sh 500 bado alipie line hamna lugha ya wateja ......
toooooo local
Wakuu habari zenu niliipost hii kitu jukwaa la kazi na tenda ila maybe ni kutokana na wahudhuriaji wachache maeneo yale nimekosa ninachokitaka so nimeamua niiweke hapa naamini nitapata hata mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.