Maandamano ya waislamu yazuiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya waislamu yazuiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgomba101, Oct 30, 2012.

 1. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya baadhi ya Waislamu yaliyotangazwa kufanyika Novemba mosi na mbili mwaka huu ya kushinikiza kutolewa rumande kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.

  Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jana kuwa maandamano hayo ni batili kutokana na kutopewa baraka na jeshi hilo.

  Alisema polisi imejipanga kuwashughulikia wote watakaofanya maandamano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

  Aidha, alisema Jeshi la Polisi linamsaka mtu anayechapisha vipeperushi vya kuchochea maandamano ambayo ni hatari kwa wananchi.

  Aliwataka wananchi kuendelea na shughuli za kiuchumi kutokana na kuimarishwa kwa usalama katika siku hizo ambazo watu hao wanataka kuandamana kinyume cha sheria.

  “Hatutarudi nyuma kwa wale ambao watavunja sheria na kuvuruga amani ya nchi katika siku hizo mbili,” alisema Kova.

  Kova alisema haki itapatikana mahakamani, hivyo hakuna haja ya kufanya maandamano katika mahakama hiyo ambayo inasikiliza kesi ya kiongozi huyo.  juu
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Safi sana Afande Kova unafanya kazi kwa weledi! nakupigia debe uwe Full kamishna.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Nasikia wanataka kuandamana kupinga kuzuiwa kuandamana
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Maumivu ya kichwa huanza pole pole! Walikuwa wapi kuwatimua siku ile walivyokwenda mambo yandani?? Nways nice start!
   
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,719
  Likes Received: 7,972
  Trophy Points: 280
  Mabao yao yatakuwa yamechakaa sasa hawana cha kufanya chini ya miti baada ya swala.

  Jambo zuri kwa serikali sio kutumia nguvu, ni kuwapa mabao na kete mpya watatulia tu, we huoni wenye shughuli zao hawashiriki
   
 6. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  To All Muslims: License to Kill on 2nd November, 2012 has been GRANTED!

  I love you Jesus, similarly I respect Prophet Muhammad (S.A.W)
  To me GOD is LOVE, Teach me What's About ALLAH?
  If I can't LOVE those I can See, How Can I testify to LOVE Someone I've never Seen?
  Who is your True Enemy. If not Diseases, Hunger, and Bad Social Services which Ill-treat both (Enemy & Friend) of your squarely?

  Well, I want to show you how a really Devout LOVE those considering him/her their enemy. Listen and read carefully!

  DO NOT DEMONSTRATE OR ABUSE THE RIGHT OF ASSOCIATION ON 2[SUP]ND[/SUP] November, 2012 and be cautious throughout the whole month of November!

  Simple and Clear; The License to Kill by using firearms at such occasions (demonstration, evil assembly, etc) has been officially GRANTED! Boys with irritating fingers are in the range field to exercise shooting without missing. On the return of these boys from your demonstrations, the state is seriously looking forward to have the corpses of the "Big Fishes" Don't dare even to be close to such demonstrations!

  I am leaking this verified and classified License information while jeopardizing my position only because I love you.

  Don't Trace nor Track my IP. You will end-up confused!
   
 7. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,368
  Likes Received: 8,422
  Trophy Points: 280
  Toka nizakiwe mpaka nafikisha miaka sasa 30 sijawahi kusikia maandamano ya Wakristu. Inamaana wao hawapati shika ziwapatazo waislam??? Au kunani hapo?
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Hiyo kali; kwa nyongeza ni kuwapikia ubwabwa misikitini - wanapenda ubwabwa hao! Eti ni chakula cha mtume!
   
 9. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Maandamano ya Wakristo yapo tu wewe! Hujui wakatoliki huwa wanatembeza sanamu ya Bikira Maria?
  Maandamano ya wakristo ni ya sherehe; lakini maandamano ya waislamu ni ya shari!
   
 10. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kova hawezi kupanda cheo zaidi ya hapo alipo.Uwezo wake mdogo mno kwanza najiuliza hapo kafika fikaje
   
 11. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Tusishabikie kwasababu ni waislamu wananyimwa kuandamana suala la kuandamana unapaswa kutoa taarifa tu polisi na sio kuomba ruhusa kazi ya polisi hapo ni kulinda hao watu wasivunje amani inatakiwa wapewe ulinzi mzito sana kudhibiti pindi watakapoleta vurugu
   
 12. m

  mdunya JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vipi kuhusu yule kichaa wa Ulimboka?
   
 13. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Look hereunder....this is how Christians (on this case Roman Catholics) demonstrates

  [​IMG]Msafara wa Mazishi ya Mhashama Kaldinari Laurean Rugambwa
  yaliyofanyika Tarehe 7 Oktoba, 2012 mjini Bukoba


   

  Attached Files:

 14. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huwa wanapewa ushirikiano km wanaandamania kitu cha msingi
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,457
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Hawa hapa! Ila ni wadhungu tupu

  [​IMG]
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mkuu tusijadili kesi ipo mahamani!
   
 17. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mkuu je wewe ni mfuasi wa uamsho??
   
 18. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45

  Wanaoandamana sio waislam, waislam (Suni) wanamwelewa sana Mtume wao Muhamad ipasavyo;ukichunguza utaona tafisiri ya mafundisho ya mtume wao katika maisha yao ya kila siku.
   
 19. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Picha hubeba ujumbe zaidi ya herufi mkuu! Nimekubali!
   
 20. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  alifika baada ya kumuua yule mwandishi wa habari John Lubungo Mbeya ambaye alikuwa anafuatilia mtandao wa ujambazi Mbeya unavyoshirikiana na RPC wa wakati huo Suleiman Kova
   
Loading...