Kwanza Katika Jiji la arusha uchafu umekithiri, hakuna DUST BINS
ELimu ya usafi itolewe kwa wingi
Barabara za kuunganisha ni finyu, mfano ukitokea Njiro, ukiingia barabara ya Old Moshi mpaka Sokoine Road/Uhuru ni msongamanooo
Upimaji wa ardhi hakuna
Sehemu chache zilizopimwa kama Njiro na Burka - Ni sehemu za Vigogo na Wazungu. Kwa mfano Njiro ni majina ya Viongozi kama mawaziri wakuu wastaafu, mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa.
Huko Burka ni vigogo na Wazungu wameuziwa viwanja. Hii ni aibu na Naibu waziri wa Ardhi ameshiriki kikamilifu