adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,949
- 5,399
Kumchagua Abdalla Bulembo kuwa mwenyekiti wa wazazi kunaonyesha kweli CCM vimeo. Jamaa alikosa sifa za kuiongoza Villa Squad kwa kuwa hana elimu ya form 4 hivyo kamati ya Tff ikampiga chini matokeo yake Villa Squad ikaendeshwa bila Mwenyekiti. Sasa huyohuyo Bulembo anapata uongozi ndani ya CCM swali la kujiuliza Je CCM na Villa Squad ipi taasisi kubwa yenye kuzingatia kigezo cha elimu?? Ni hayo 2
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums