Rais wangu jk sasa chukua hatua mwenyewe

Rais wangu jk sasa chukua hatua mwenyewe

ligendayika

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,183
Reaction score
199
Nimesikia ktk vyombo vya habari kuwa rais anachukizwa na umasikini wa watanzania,pia rais anachukizwa na rushwa,tena anachukizwa na mafisadi ktk halmashauli mbalimbali,wizara hata mashirika ya umma.Kwakuwa aliowapa madaraka kusimamia haya wameshindwa ni vema sasa rais mwenyewe achukue hatua kwani watendaji wengi amewateua mwenyewe..
 
Back
Top Bottom