Makene
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,475
- 282
katika taarifa ya habari tbc saa mbili leo usiku, kumekuwepo taarifa inayohusu malalamiko ya akina mama wanaofanya kazi katika kiwanda cha kukausha mabondo ya samaki sangara, kuhitajiwa kufanyiwa upekuzi sehemu zao za haja.
Wachina sasa wamefika sehemu wanataka kutiishwa kuhusu maadili na mambo yaliyo na heshima kwa raia wa nchi hii.
Wachina sasa wamefika sehemu wanataka kutiishwa kuhusu maadili na mambo yaliyo na heshima kwa raia wa nchi hii.