na hiyo ni Mbezi Beach sasa na je likitokea kwa mnyamani!? Au ni ile sehemu ya kushoto baada ya kuvuka daraja kuelekea NBC?miundo mbinu isiyo tayari kusaidia wakati wa dharura ndo tatizo
Dsm kubwa ivuga?? Be specific unaweza ukastua watu wakajua dsm yote inawaka moto!! Kuna uzi tayari upo kama huu...