Forbes na Venture Africa Mwatuchanganya kuhusu matajiri, Tumwamini nani?

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
105
WHOM SHOULD WE BELIEVE, FORBES or VENTURE AFRICA? While Venture Africa claims that the richest black woman in the world is Folorunsho Alakija, a 61 year-old Nigerian fashion designer and oil tycoon who is worth at least $3.3 billion, $500 million richer than media mogul Oprah Winfrey whose wealth Forbes magazine estimated at $2.7 billion in September, on FORBES list, Folorunsho Alakija, is ranked 24 with a net worth of $600Million and not $3.3billion as per Venture Africa’s report!

Pamoja na kukubaliana na kiwango cha Oprah Forbes, wamepotezea kiwango cha Alakija kwenye forbes!!! A total consusion hapa!!!Ni hawa hawa Venture Africa walituambia Bakhresa ana net worth ya $620, wakati kwenye FORBES anaoneshwa kuwa na net woth ya $520Million? Jamaa huwa wanasubiri kwanza FORBES watoe data , nao ndo wanatoka!
 
Mkosoaji

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
363
41
ExpertBroker, hizo stats kwa matajiri wa Afrika hazipo wazi sana kulinganisha na za wenzetu. Pengine Forbes wameteleza au hao Venture, ila tofauti ya figures lazima itakuwepo.

Jingine ni figure zote hizo ni net worth? Chunguza vizuri.
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,785
9,623
SASA UTAJIRI WA WENZAKO WE WACHANGANYIKIWA NA NIN??

UNGEKUA WAKO SI UNGERUKWA NA AKILI KABISA,,

:playball::playball:
 
ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
105
SASA UTAJIRI WA WENZAKO WE WACHANGANYIKIWA NA NIN??

UNGEKUA WAKO SI UNGERUKWA NA AKILI KABISA,,

:playball::playball:

Mkuu, naamini wewe ni GREAT THINKER na sio GREAT SINKER ndio maana humo humu JF! Hapa sio utajiri wa wenzangu, sula ni mkanganyiko wa habari? Au wewe JF ulijiunga kufuatilia mambo yanayokuhusu personaly Mr. Great Thinker, The Big Show? Na kusihi na wewe usihofie kuhoji kwa kuogopa eti kwa sababu habari haikuhusu!
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,785
9,623
mkuu, naamini wewe ni great thinker na sio great sinker ndio maana humo humu jf! Hapa sio utajiri wa wenzangu, sula ni mkanganyiko wa habari? Au wewe jf ulijiunga kufuatilia mambo yanayokuhusu personaly mr. Great thinker, the big show? Na kusihi na wewe usihofie kuhoji kwa kuogopa eti kwa sababu habari haikuhusu!hapana,sipingani na hoja yako

na hapa jf ni sehemu ambayo tunaweza kuongea kwa uwazi ili mradi tuh tusitoleane kauli chafu,matusi,dharau na kejeli etc,,mimi nakuuliza kinachokufanya wewe uchanganyikiwe na utajiri wa wenzako ni kipi??
Je ungekuwa ni utajiri wako si ungerukwa na akili??nijibu sasa,tueleweshane ndugu

kipi kinachokuchanganya wewe
 
ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
105
hapana,sipingani na hoja yako

Kumbe bado tu hujanielewa kinachonichanganya pamoja na kwamba title yenyewe ya thread inajieleza, anyway, ngoja nirudie, nimechangaanyikiwa(labda kama nakosea kiswahili), I am confused with the report by two different entinties coming up with different information on the same matter! Kama hutanilewa hapa itabidi niongee kikwenu labda!
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,785
9,623
kumbe bado tu hujanielewa kinachonichanganya pamoja na kwamba title yenyewe ya thread inajieleza, anyway, ngoja nirudie, nimechangaanyikiwa(labda kama nakosea kiswahili), i am confused with the report by two different entinties coming up with different information on the same matter! Kama hutanilewa hapa itabidi niongee kikwenu labda!kweli itazidi kukuchanganya sana,,

besides inakusaidia nini??kipi kinachokushughulisha na report hizo hadi ufikie hatua ya kuchanganyikiwa??thats my question..

It will make no goddamned difference in your life ndugu,,

let it go,shika tuh jembe lako ukalime,,may be it will work..
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,163
50,548
Ila Bakhera ana zaidi ya hyo!! Maana huku kwetu hakuna records nzuri ya mapato ya hawa watu,wengi records zao ni za kufoji tu,ndio maana hata TRA wafanyabiashara wanapunguza bei za kwenye karatasi ili mradi ushuru uwe mdogo,sasa hao forbes na venture ndio wanachukua takwimu hizo! Kiukweli bakhresa ana utajiri mara 6 hyo 520usd mils!! Ebu angalia huyu bakhresa ananunua Gari mpya hizi semitrailer aina ya Benz..ndio ujiulize ana fedha kiasi gani kununua truck benz mpya kwenye nylon...
 
nyabaheta

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
247
76
WHOM SHOULD WE BELIEVE, FORBES or VENTURE AFRICA? While Venture Africa claims that the richest black woman in the world is Folorunsho Alakija, a 61 year-old Nigerian fashion designer and oil tycoon who is worth at least $3.3 billion, $500 million richer than media mogul Oprah Winfrey whose wealth Forbes magazine estimated at $2.7 billion in September, on FORBES list, Folorunsho Alakija, is ranked 24 with a net worth of $600Million and not $3.3billion as per Venture Africa’s report!

Pamoja na kukubaliana na kiwango cha Oprah Forbes, wamepotezea kiwango cha Alakija kwenye forbes!!! A total consusion hapa!!!Ni hawa hawa Venture Africa walituambia Bakhresa ana net worth ya $620, wakati kwenye FORBES anaoneshwa kuwa na net woth ya $520Million? Jamaa huwa wanasubiri kwanza FORBES watoe data , nao ndo wanatoka!

Mkuu,mimi nadhani tungeanza kwanza na vigezo vinavyotumiwa na "entities" zote mbili,tujue wantumia vigezo gani kupata net worth ya mtu,kama vigezo vya forbes na venture vinatofautiana then hakutakuwa na haja ya kujadili hili.

Usikute bakhresa ni richer kuliko bill gates,lakini kwa vigezo vya forbes hayumo hata top ten.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
105
kweli itazidi kukuchanganya sana,,

besides inakusaidia nini??kipi kinachokushughulisha na report hizo hadi ufikie hatua ya kuchanganyikiwa??thats my question..

It will make no goddamned difference in your life ndugu,,

let it go,shika tuh jembe lako ukalime,,may be it will work..

Unafikri hizi reports zilitakiwa zitoke? Na kama zilitakiwa zitoke, who are the consumers of the news?
 
augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Thaman ya mali/utajiri inapatikana kwa makisio kwa hiyo lazima kila mtu atoe tofauti ila tofauti haiwi kubwa sana,wanakisia kias cha bidhaa unachodhalisha kwa siku.na ni vigumu kujua pesa zilizo benk au maden.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom